hivi hii inakuwaje

hivi hii inakuwaje

mountana

Member
Joined
Sep 24, 2012
Posts
40
Reaction score
6
mtu akipata four ya 30 au hana credit 3 anaenda certificate anaweza soma degree kwenye vyuo vikubwa vya tz na masterz maana mwaka 2011 kuna watu tcu waliwanyima post za vyuo kisa hawana credit 3 za o level msaada kwa anayejua
 
Back
Top Bottom