mountana Member Joined Sep 24, 2012 Posts 40 Reaction score 6 Feb 22, 2013 #1 mtu akipata four ya 30 au hana credit 3 anaenda certificate anaweza soma degree kwenye vyuo vikubwa vya tz na masterz maana mwaka 2011 kuna watu tcu waliwanyima post za vyuo kisa hawana credit 3 za o level msaada kwa anayejua
mtu akipata four ya 30 au hana credit 3 anaenda certificate anaweza soma degree kwenye vyuo vikubwa vya tz na masterz maana mwaka 2011 kuna watu tcu waliwanyima post za vyuo kisa hawana credit 3 za o level msaada kwa anayejua