Shadrack K. Lwila
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 4,925
- 14,287
Wakijibuu nitag1 Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi.
2 Nayo nchi ilikuwa ukiwa, tena utupu, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji.
3 Mungu akasema, Iwe nuru; ikawa nuru.
4 Mungu akaiona nuru, ya kuwa ni njema; Mungu akatenga nuru na giza.
Iyo ni (mwanzo 1 sura 1 hadi ya 4)
Hapo napata picha kuwa ni dunia ndio ilikuwa ikizungumziwa swali langu ni hili kama mungu aliumba dunia je hizi sayar zingine ziliumbwa na nani ????
Ulimwengu maana yake dunia na izo sayar zingine zina majina yakeKwa sababu umekuja kwa Swali la biblia nashindwa kukujibu kimaandiko.
Ila ungehitaji kwa vitabu vingine ningekujibu kwa maandiko.
Tambua Kuwa Mungu ndiye muumba wa ulimwengu na tunapoambiwa ulimwengu maana yake sayari zote na kila kinachozunguka jua.
Haya maswali unaweza ukakesha na usipate jibuHivi bado mpo mnao amini hizo myths?
Yaani unaamini kuwa Mungu ndiye muumba wa kila kitu[ingawa hakuna ushahidi wa uwepo wake].
Je ni nani aliyemuumba Mungu?
Sawa mkuuWakijibuu nitag
Mkuu naomba uelewe kuwa dunia ni sehemu ya ulimwengu.Ulimwengu maana yake dunia na izo sayar zingine zina majina yake
Ulimwengu=dunia