Sir John Roberts JF-Expert Member Joined Mar 1, 2017 Posts 12,835 Reaction score 23,584 Mar 6, 2025 #1 Kiukweli binafsi sielewi hii kamati ina umuhimu gani kwa taifa hili naona kama ni kajitaasisi ulaji kameundwa ili kulinda maslahi ya watu Fulani hivi. Watanzania tunataka kuridhiana kuhusu kitu gani?
Kiukweli binafsi sielewi hii kamati ina umuhimu gani kwa taifa hili naona kama ni kajitaasisi ulaji kameundwa ili kulinda maslahi ya watu Fulani hivi. Watanzania tunataka kuridhiana kuhusu kitu gani?