Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Naomba yeyote aliyeongezewa muda wa maongezi au MB kama mpiga debe wao Joti anavyotangaza hadharani aniambie, nafahamu kwamba ukiongeza muda wa maongezi unaletewa sms ya kwamba umepewa MB kadhaa, sasa kiuhalisia ukiacha hiyo SMS kuna kweli wa hizo MB na unazionaje na zinaishaje?
Nimeuliza kwa vile baada ya uchunguzi mdogo nilioufanya sioni chochote zaidi ya muda wangu nilioulipia na wala sioni hizo MB za ziada (niko tayari kusahihishwa )
NITASEMA KWELI DAIMA FITNA KWANGU MWIKO