Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
mkuu kwahiyo unataka kujazwaNaomba yeyote aliyeongezewa muda wa maongezi au MB kama mpiga debe wao Joti anavyotangaza hadharani aniambie, nafahamu kwamba ukiongeza muda wa maongezi unaletewa sms ya kwamba umepewa MB kadhaa, sasa kiuhalisia ukiacha hiyo SMS kuna kweli wa hizo MB na unazionaje na zinaishaje?
Nimeuliza kwa vile baada ya uchunguzi mdogo nilioufanya sioni chochote zaidi ya muda wangu nilioulipia na wala sioni hizo MB za ziada (niko tayari kusahihishwa )
NITASEMA KWELI DAIMA FITNA KWANGU MWIKO
nimejiunga na kifurushi cha internet cha GB 20 nimejazwa GB 2 kama bonus.
ni sawa tu kwasababu ni bonusUkijiunga mara ya pili wanazipunguza, utashangaa wanakupa MB 800.
ni sawa tu kwasababu ni bonus
Na ukiangalia salio *102*00# unaziona hizo bonus??Isije ikawa ni vimeseji vya gelesha tuni sawa tu kwasababu ni bonus
ikiwa kama wanatoa hata kama ni kidogo ni sawa , nilitaka kujua kama kweli wanafanya wanachokitangazaUkijiunga mara ya pili wanazipunguza, utashangaa wanakupa MB 800.
yes naziona kabisa, pia nimenunua dakika 20 za kupiga nikapewa dakika 2 kama bonus.Na ukiangalia salio *102*00# unaziona hizo bonus??Isije ikawa ni vimeseji vya gelesha tu
ikiwa kama wanatoa hata kama ni kidogo ni sawa , nilitaka kujua kama kweli wanafanya wanachokitangaza
kwa kuangalia salio la muda wa maongezi na MBUmesema umefanya uchunguzi, umefanyaje huo uchunguzi?
Ubaya wa Tanzania kila Mtandao wa Simu unalalamikiwa tu na hakuna ulio na Unafuu, hivyo nadhani sasa ni wakati wa Kuwashtakia tu kwa Mola.Naomba yeyote aliyeongezewa muda wa maongezi au MB kama mpiga debe wao Joti anavyotangaza hadharani aniambie, nafahamu kwamba ukiongeza muda wa maongezi unaletewa sms ya kwamba umepewa MB kadhaa, sasa kiuhalisia ukiacha hiyo SMS kuna kweli wa hizo MB na unazionaje na zinaishaje?
Nimeuliza kwa vile baada ya uchunguzi mdogo nilioufanya sioni chochote zaidi ya muda wangu nilioulipia na wala sioni hizo MB za ziada (niko tayari kusahihishwa )
NITASEMA KWELI DAIMA FITNA KWANGU MWIKO
Wadau wanasema tigo wanawajaza waliojazaUbaya wa Tanzania kila Mtandao wa Simu unalalamikiwa tu na hakuna ulio na Unafuu hivyo nadhani sasa ni wakati wa Kuwashtakia tu kwa Mola.
kwa kuangalia salio la muda wa maongezi na MB
Wakimaanisha NO PAIN NO GAIN au?Wadau wanasema tigo wanawajaza waliojaza
Taarifa ya sms inakuja nilichokuwa nataka ni kuona hiyo nyongeza , kwa vile kupewa taarifa ni jambo moja lakini uhalisia ni jambo jingineSiyo kweli, kama ungekuwa umenunua salio au MB lazima ungepata taarifa.
Taarifa ya sms inakuja nilichokuwa nataka ni kuona hiyo nyongeza
Basi hayaNyongeza ukiangalia salio unaiona pia, I can bet umeandika tu thread bila kufanya uchunguzi wowote kama ulivyosema.
Ukute hata hutumii line ya tigo.