Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha acha uoga,kama unazo zilizookwa we tafuna tu shushia na Pepsi maxView attachment 1659957naona kama inafoka huku nyenzake pembeni zinamuangalia, naona kama naifananisha .... lakini naishia kunyamaza,
Mbona hiyo korosho inafanana na Mh. rais wetu....yaani kuanzia kidevu, hasira, na hilo komwe.View attachment 1659957naona kama inafoka huku nyenzake pembeni zinamuangalia, naona kama naifananisha .... lakini naishia kunyamaza,
Duh....View attachment 1659957naona kama inafoka huku nyenzake pembeni zinamuangalia, naona kama naifananisha .... lakini naishia kunyamaza,
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji23]Korosho zinaa kichwa kama jiwe kabisaa
Zina hasira naye sana😁Imefanana na mtu yule [emoji23][emoji23][emoji23]
Tutakutafuta ili utueleweshe vizuriKorosho zinaa kichwa kama jiwe kabisaa
Tutakutafuta ili utueleweshe vizuriMbona hiyo korosho inafanana na Mh. rais wetu....yaani kuanzia kidevu, hasira, na hilo komwe.
Ukishaeleweshwa vizuri ukamweleweshe mh vizuriTutakutafuta ili utueleweshe vizuri
Sawa,na wewe itabidi tukuunganisheUkishaeleweshwa vizuri ukamweleweshe mh vizuri
Ukiniunganisha nitakusaidia kumweleweshaSawa,na wewe itabidi tukuunganishe