kovidii
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 277
- 266
Huwa nina kawaida ya kuweka mafuta katika kausafiri kangu once per week. This time nimeenda jana Alhamisi. (Kuna shell fulan ndo huwa naitumia) kwa kawaida nilizoea kuweka mafuta ya shilingi fulani then wiki inaisha kulingana na mizunguko yangu. Sasa kama kawaida nikamwambia muuzaji aniwekee mafuta ya kias kile kile nilichozoea, maajabu naona tank iko full na ile amount haijafikiwa bado.
Wakati bado nashangaa shangaa, nachek pale kwenye mashine kuangalia price per lita, nakuta ni buku jero. Ikabid mdada anirudishie chenji, nilivyotoka pale niko njian likanijia swali (asa cjui km ni la kipuuzi ama lah! Kwamba huu ugonjwa uendelee zaid ili petrol iuzwe buku, au uishe ili turudi kuleee.
Nimeshndwa kujijibu wajemeni. Kwan wadau mnaonaje?