Hivi hii "Kovidii" iishie hapa au iendelee?

kovidii

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2020
Posts
277
Reaction score
266
Huwa nina kawaida ya kuweka mafuta katika kausafiri kangu once per week. This time nimeenda jana Alhamisi. (Kuna shell fulan ndo huwa naitumia) kwa kawaida nilizoea kuweka mafuta ya shilingi fulani then wiki inaisha kulingana na mizunguko yangu. Sasa kama kawaida nikamwambia muuzaji aniwekee mafuta ya kias kile kile nilichozoea, maajabu naona tank iko full na ile amount haijafikiwa bado.

Wakati bado nashangaa shangaa, nachek pale kwenye mashine kuangalia price per lita, nakuta ni buku jero. Ikabid mdada anirudishie chenji, nilivyotoka pale niko njian likanijia swali (asa cjui km ni la kipuuzi ama lah! Kwamba huu ugonjwa uendelee zaid ili petrol iuzwe buku, au uishe ili turudi kuleee.

Nimeshndwa kujijibu wajemeni. Kwan wadau mnaonaje?
 
Bado Bongo tunapigwa, kwa mujibu wa soko la dunia ilitakiwa zutu liuzwe buku kwa sasa 😎
 
Duuh ni hatar hku kwetu ni fujo watu wamefufua hadi magari ya enzi za nyerer yaan ni fujooo tu buku jero weseee la kutosha balaaa mtaan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…