Hivi hii kweli inaweza kuwa Bei ya nyumba hii Dodoma?(Dodo chini ya mnazi)

Good Neighbour

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2017
Posts
942
Reaction score
897
[emoji666]Ipo mahungu-jijini dodoma

[emoji666]kiwanja chake kimepimwa(ukubwa wa square metres 450)

[emoji666]Ina vyumba vitatu vya kulala,kimoja kikiwa ni master.

[emoji666]Ina jiko,dinning,sebule,choo+bafu vya ndani,stoo

[emoji666]umbali toka city centre ni kilomita 9 tu

[emoji666]kiwanja chake ni cha tatu toka barabara kuu ya lami ya mwanza/singida/tabora

[emoji666]Maji+umeme viko jirani

[emoji666] una paua na kuhamia tu,nyumba imeisha

BEI YAKE SASA?
" Eti milioni 18 TU(FIXED)"
Mwenye macho Haambiwi ona na mwenye kuona fursa kama hii hawezi kuacha!!!

0767833496
0622111186
 
Kwa bei hio sawa maana mpake umalize ndio utaijua thamani halisi
 
hapo ukitakai iwe nyumba ya kweli tenga m25 zingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…