Click Hapa
JF-Expert Member
- Jan 27, 2013
- 479
- 206
Habari za leo wana jamvi!
Jamani nawaombeni sana mlione na hili ili tuone uhalali wake.
Kuna hii kitu inatwa TELEX FREE ambayo baada ya kusoma post mbalimbali za wana-mitandao nimejiridhisha kuwa hii ni DECI mpya na nimeshachukua hatua (AKILI ZA KUAMBIWA, CHANGANAYA NA ZAKO).
Sasa kuna nyingine tena inaitwa VIRAL ANGELS, ni jana tu nimehudhuria semina yake kwenye moja ya Hotel kubwa hapa nchini (semina za mambo haya mara nyingi zinafanywa kwenye hotel kubwa kubwa na mara nyingi inakuwa entry free).
Kwa mujibu wa semina ni kwamba hii ni biashara ya kununua na kuuza shares online. Ukiwasikiliza facilitators hii kitu inaonekana kuwa profitable.
Hofu inakuja pale hii issue inapokuwa online business na wanasema mambo yote ni Sweden huko ila haijalishi kwakuwa ni online business popote pale unapokuwa duniani unapiga hela tu as long as umejiunga na kufuata masharti yao.
Uki-google Viral Angels hii kitu ipo na inaonekana kuwa genuine.
Sasa tushauriane wana-bodi kwa aliyemo tayari atujuze kulikoni zake, maana kwa kuwategemea waendesha semina tu mara nyingi huwa wana lugha za mvuto sana.
Nawasilisha.