Hivi hii ndo defination ya mauaji ya kimbali?

Hivi hii ndo defination ya mauaji ya kimbali?

Pawaga

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2011
Posts
1,349
Reaction score
1,011
Habari wana JF?,jamani mi leo nilikuwa nasikiliza redio fulani wanaelezea kuhusu mauaji ya kimbali...kiukweli maelezo yake yalikuwa tofauti na ninavyoelewa mimi,.mfano alisema-namnukuu: mauaji ya kimbali ni uharibifu wa kitaratibu na kimchakato,kikamilifu au kwa kulenga sehem ndogo ya kikundi cha kikabila,kirangi,kidini au kitaifa. Tuanzie hapo kwny definition,alikuwa sahihi au alipotoka?. Msaada pls kwa anaejua maana kafuta kbs nlichokuwa naelewa.
 
mmmmh,mimi ndo lilikuwa swali langu mkuu Obi
 
Back
Top Bottom