Hivi hii ni fashion kwa wadada?

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
Poleni na makali ya mgao wa umeme wakuu!!naomba kueleweshwa hili suala,kwa nin kila mdada anapopgwa sound na man kwa mara ya kwanza lazima aseme eti ana mpz wake na tena wanapendana sana hata kama hana,afu after somedayz ndio anakukubalia ombi lako,hivi hii nayo huwa ni fashion kwa dada ze2 wajamen?
 
anajipandisha chati ili mzee umpe hadhi kubwa asionekane umemuokota tu huko barabarani halafu ukishamtumia umdump tu kiaina.
 
Labda wanakuwa nao lakn baadaye wanaachana.
 
Senator hiyo ni mbinu mojawapo wanaitumia ili kufahamu kama 1.utakata tamaa mapema, 2.kweli unamhitaji, 3.kukujulisha kuwa soko lake liko juu, 4.uko tayari kulipigania penzi lake hata ikibidi kumnyang'anya mtu, 5.kujuwa msimamo wako -ikiwa uko tayari kupora mtu pia utakuwa tayari kuporwa hapo baadae.
 
Ni mbinu wanayoitumia ili mfahamiane zaidi.
 
we dont have to give in so easily coz you will dump us so easily.

Pili tunapenda kuonyesha kuwa, sio wewe wa kwanza kuona kuwa mimi nina stahili kupendwa kuna mwingine alishanipenda hata kama hayupo.

Tatu ni kwamba Labda niliye naye kwasasa hayupo serrious sana na nimekua namvumilia nikisubiri kama kuna mwingine atakuja on the way, ulipokuja wewe nilisita kwanza ili nione how serious you are. will you continue chasing after me?

Nne inaweza ikawa ni issue ya ndoo na kidumu. yaani ninaweza kuwa naye lakini nikiona wewe umekuja vizuri zaidi kisha nikamdump.

Halafu niseme tu kwamba ni vigumu kwa msichana mrembo wa 20 and over awe hana Boyfriend.

think I cannot exhaust the list of reasons.
 

Frankly speaking umekuwa muwazi vya kutosha ila kiukweli hapo kwenye redi nataka niweke tu kamsisitizo isomeke Maboifrend!
 
mbona mimi niko ovre 20 na sina boyfriend acha uzushi wewe
 
mbona mimi niko over 20 na sina boyfriend acha uzushi wewe
 
si rafiki wa karibu wa kiume au
 
kipengele number nne kimewashinda
 

vivian............
 
wengine tukisema tuna wapenzi tunamaanisha kweli wapenzi wapo, uking'ang'ania naanza kukupiga mizinga, taratibu utajiondioa mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…