Cytochrome p450
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 5,638
- 15,044
Well said Breki ya Kenge
Duh! Hicho kipengele cha kumuhadithia mtu ndio mzozo.Nikifanya vizuri najipomgeza pia lakini sio kwa kula
Nikiharibu najilaumu na kuhadithia mtu nilichoharibu ili anipoze
Duh! Hicho kipengele cha kumuhadithia mtu ndio mzozo.
Ukiwa na huzuni au furaha?
Nimesahau kumalizia, ..kwa mimi 🙂Kwanini mzozo?
Mimi hata nikitoka kwenye harakati zangu za maisha tu, nikapata hata chakula tu; hasa ninapoingia geto tu huwa napomoka chini tu namshukuru Mungu. Ni mara nyingi.Huwa inanitokea na ni kawaida yangu kila ninapofanya vizuri au kufanikiwa katika jambo fulani, basi natafuta namna yeyote ile ya KUJIPONGEZA.
Vile vile nikiwa nimeharibu au kukosea kwenye jambo lolote ambalo nahisi sikustahili kuharibu, basi huwa natafuta namna yeyote ya KUJIPOZA.
Mfano: Nikifanikiwa huwa natafuta sehemu moja iliyotulia sana, kisha nashusha misosi ya nguvu pamoja na vinywaji. Hali inakuwa hivyo hivyo pale ninapozingua.
Hivi hii imekaaje wakuu, ni kwangu mimi Tu au ni kwetu sote?
Tuambiane pia, wewe huwa unafanya nini pale zinapotokea hali zote mbili?
itakuwa hii ni kwetu sisi wawili mkuu