Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,153
- 2,647
Daah! hiyo kwangu haipo huwa nashtuka tena sana tu nikipigiwa na mtu anayenidai, tena usiombe awe baba mwenye nyumba halafu muda umekaribia na mambo hayaeleweki. Tena unaweza kukuta tumbo linaunguruma kabisa au unabanwa na haja ndogo.Mvulana/msichana akitokewa na msichana/mvulana au akibigiwa simu na msichana/mvulana moyo unashtuka paaa!! Hivi hii ni nini hasa?
NB: Hapo ni baada ya kufahamiana kwa kipindi kifupi.
Mvulana/msichana akitokewa na msichana/mvulana au akibigiwa simu na msichana/mvulana moyo unashtuka paaa!! Hivi hii ni nini hasa?
NB: Hapo ni baada ya kufahamiana kwa kipindi kifupi.