Kwenye utupu wa kila mwanamke kuna comensal flora. Huwa ni bacteria au virus ambao huwa kwa kawaida hawamzuru alionao. Kuna kundi la virusi wakubwa wa kundi la clamidea, yaani wate wanao leta Trachoma kwenye macho huwa wanapenda sana kuishi huko mahali. Huwa wanashambulia vijaraha vidooogo vinavyo tokana na tendo. Hasa kama mwanamke ana mnywele mengi au kanyoa karibuni. Unaweza kupata vipele vidunchu na vyaweza kuwasha. Hatimae kwa usafi vinapona vyenyewe.
Kama havikudhuru wala haviwashi au kuuma viache na vitapona lakini na mwili unajenga kinga juu ya hao.