"Usiutamani uzuri wake moyoni mwako; wala uysikubali akunase kwa kope za macho yake; Maana kwa malaya mtu hutiwa katika hali ya kuhitaji kipande cha mkate; Na kahaba humwinda mtu anase nafsi yake iliyo ya thamani; Je mtu aweza kuua moto kifuani pake na nguo zake zisiteketezwe? Je mtu aweza kukanyaga makaa ya moto na nyayo zake zisiungue? NDIVYO ALIVYO AINGIAYE KWA MKE WA JIRANI YAKE; KILA MTU AMGUSAYE HUYO ATAKUWA NA HATIA................................ MTU AZINIYE NA MWANAMKE HANA AKILI KABISA; AFANYA JAMBO LITAKALOMWANGAMIZA NAFSI YAKE; ATAPATA JERAHA NA KUVUNJIWA HESHIMA; WALA FEDHEHA YAKE HAITAFUTIKA; MAANA WIVU NI GHADHABU YA MTU WALA HATAHURUMIA SIKU YA KULIPIZA KISASI; HATAKUBALI UKOMBOZI UWAO WOTE; WALA HATAKUWA RADHI UJAPOMLIPA VITU VINGI: MITHALI 6: 25- 35
Neno la Mungu hilo lifungue ufahamu wako na likubadilishe ..... KATIKA JINA LA YESU - AMEN!!!