Mi naona hao majirani kama wana wivu tuu, yaani pikcha zisi, "we dada usiwe una....kila siku" kazi kweli kwelimajirani zangu walitaka wamwambie yule dada awe anapunguza kelele
Tehe tehe tehe, wanawake wengine wanapiga kelele utadhani wanakabwa, kumbe ni raha zao wenyewe! wanawake tuna mambo sisi!
Haswaaa maana hii sio sream ni makelele, anasikia kuna kulia basi ndio analia utadhani kafiwaau ndo ku-fake kwenyewe huko?