Hivi hii njia inaweza kusaidia usiibiwe gari?

Kaluluma

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2019
Posts
468
Reaction score
619
Habari za le OK wakuu, kuna post moja nimeona mahali nikaona labda inaweza kuwa option ya angalau kidogo kuchelewesha gari lako kuibwa
Ila japo naona kuna uwezekano mkubwa wa kuvunjika miguu ikitokea umepata ajali.
Mnaionaje wakuu??
 

Mtoa maada kama lengo ni watu wakiwasha gari washindwe kuondoka, Njoo nikuuzie switch ambazo utaenda kuzifunga na fundi wako unayemuamini.

Wewe utakuwa na remote yake ambayo utaitumia tu ukitaka kuwasha gari.

Ukizima gari yako haiwaki tena bila remote.



just like that. Kuwa smart.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…