Hivi hii njia ya Mbeya Singida inapita wapi

EvilSpirit

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2017
Posts
10,576
Reaction score
16,644
Nataka kujua hii njia ya kushoto yenye blue kwenye Ramani kutoka Mby kwenda Sngd inapita mikoa gani pia nataka kujua route ipi ni convenient kati ya hii na ya kulia kupitia Iringa - Dodoma- Manyoni- Singida kutokea Mbeya

Singida - Mbeya route

20200523_120010.jpg

Mbeya - Iringa - Dodoma - Manyoni - Singida route

20200523_121140.jpg
 
Jambo la msingi ni unatoka wapi na unaenda wapi?.

Mwanzo route ilikuwa unatoka Arusha, Babati, Singida Mjini, Manyoni, Dodoma, Iringa na kisha unaenda Mbeya.

Ila hiyo route ni ndefu zaidi ukilinganisha na ya sasa ambayo kimsingi inapita Kondoa kisha unaingia Dodoma. Singida hutafika kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kutoka Mbeya kwenda Singida
 
Nataka kujua hii njia ya kushoto yenye blue kwenye Ramani kutoka Mby kwenda Sngd inapita mikoa gani pia nataka kujua route ipi ni convenient kati ya hii na ya kulia kupitia Iringa - Dodoma- Manyoni- Singida kutokea Mbeya

Singida - Mbeya route

View attachment 1457362

Mbeya - Iringa - Dodoma - Manyoni - Singida route

View attachment 1457369
Hiyo njia inatokea Itigi ni njia ya vumbi kama una gari nzuri kama Hardtop unaweza kupita lkn siwezi ku recommend njia hiyo ukizingatia na mvua nyingi zilizonyesha, the best route ni kupita Iringa, Dodoma, Manyoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo inawezekana route nzuri ni hii ya iringa-dodoma-manyoni-singida
Na ndo route ya kuaminika pia. Hata gari za mbeya mwanza ndo zinapita route hiyo. Kipande cha dodoma, manyoni mapaka singida ni kirefu ila ni lami kwanzia unatoka mbeya mjini mpaka unaingia Singida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo njia inatokea Itigi ni njia ya vumbi kama una gari nzuri kama Hardtop unaweza kupita lkn siwezi ku recommend njia hiyo ukizingatia na mvua nyingi zilizonyesha, the best route ni kupita Iringa, Dodoma, Manyoni

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo njia inatokea Itigi ni njia ya vumbi kama una gari nzuri kama Hardtop unaweza kupita lkn siwezi ku recommend njia hiyo ukizingatia na mvua nyingi zilizonyesha, the best route ni kupita Iringa, Dodoma, Manyoni

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kule mbeya inatokezea wapi hii njia
 
Na ndo route ya kuaminika pia. Hata gari za mbeya mwanza ndo zinapita route hiyo. Kipande cha dodoma, manyoni mapaka singida ni kirefu ila ni lami kwanzia unatoka mbeya mjini mpaka unaingia Singida

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo ili nifike singida nichukue basi la dodoma ,kwamba nifikifika dodoma nachukua usafiri wa singida au pengine kuna bus ambazo destination yake ni singida, au kuna basi za masafa marefu zaidi zinapita singida
 
Nataka kujua hii njia ya kushoto yenye blue kwenye Ramani kutoka Mby kwenda Sngd inapita mikoa gani pia nataka kujua route ipi ni convenient kati ya hii na ya kulia kupitia Iringa - Dodoma- Manyoni- Singida kutokea Mbeya

Singida - Mbeya route

View attachment 1457362

Mbeya - Iringa - Dodoma - Manyoni - Singida route

View attachment 1457369
Inapita Makongorosi Chunya inatokea Itigi kisha Mkiwa nakuendelea hadi Singida mjini. Nilipita miaka ya 2013 kwa bus (1200am -0400am ~ 21hrs) sitasahau na wala sitarudia tena.
 
Hahaha ikoje hiyo njia mkuu, na no Mabasi gani huwa yanapita huko?
 
Wakati huo barabara ilikua ya vumbi ila yenye kuchongwa vizuri na kulikua na bus mbili (super service na Ally said kama sijachanganya majina ) na zilikua zinapisha siku moja moja. Tatizo (kwa wakati huo) bus ndani linajaa viroba/ vipetu vya mchele na kila kijiji linasimama (pandisha shusha kama daladala). Pia sitasahau burudani kutoka kwa ndungu zetu wa kanda ya ziwa maana walikua wanaimba nyimbo za kwao usiku ule na kutufanya tusahau karaha na kero ya safari.
 
Back
Top Bottom