EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
Ni kutoka Mbeya kwenda SingidaJambo la msingi ni unatoka wapi na unaenda wapi?.
Mwanzo route ilikuwa unatoka Arusha, Babati, Singida Mjini, Manyoni, Dodoma, Iringa na kisha unaenda Mbeya.
Ila hiyo route ni ndefu zaidi ukilinganisha na ya sasa ambayo kimsingi inapita Kondoa kisha unaingia Dodoma. Singida hutafika kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok. Hapo nimekuelewa mkuu.Ni kutoka Mbeya kwenda Singida
Mbona tabora ni njia inayoenda kushoto hii ni unanyookaInapita tabora hiyo
Kwa hiyo inawezekana route nzuri ni hii ya iringa-dodoma-manyoni-singidaOk. Hapo nimekuelewa mkuu.
Hiyo sidhani kama mabasi yanapita sina uhakika maana sijasikia route ya moja kwa moja. Ila naamini ndo njia hiyo ambayo inapita chunya
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo njia inatokea Itigi ni njia ya vumbi kama una gari nzuri kama Hardtop unaweza kupita lkn siwezi ku recommend njia hiyo ukizingatia na mvua nyingi zilizonyesha, the best route ni kupita Iringa, Dodoma, ManyoniNataka kujua hii njia ya kushoto yenye blue kwenye Ramani kutoka Mby kwenda Sngd inapita mikoa gani pia nataka kujua route ipi ni convenient kati ya hii na ya kulia kupitia Iringa - Dodoma- Manyoni- Singida kutokea Mbeya
Singida - Mbeya route
View attachment 1457362
Mbeya - Iringa - Dodoma - Manyoni - Singida route
View attachment 1457369
Nafikiri hajauliza aina ya usafiri, hapa anaulizia ubora na uwepo wa barabara.Ok. Hapo nimekuelewa mkuu.
Hiyo sidhani kama mabasi yanapita sina uhakika maana sijasikia route ya moja kwa moja. Ila naamini ndo njia hiyo ambayo inapita chunya
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ndo route ya kuaminika pia. Hata gari za mbeya mwanza ndo zinapita route hiyo. Kipande cha dodoma, manyoni mapaka singida ni kirefu ila ni lami kwanzia unatoka mbeya mjini mpaka unaingia SingidaKwa hiyo inawezekana route nzuri ni hii ya iringa-dodoma-manyoni-singida
Ila kwa kipindi cha mvua sio njia rafiki hata kidogo.Nafikiri hajauliza aina ya usafiri, hapa anaulizia ubora na uwepo wa barabara.
Huenda ana private car
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Ni bus mkuuNafikiri hajauliza aina ya usafiri, hapa anaulizia ubora na uwepo wa barabara.
Huenda ana private car
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Hiyo njia inatokea Itigi ni njia ya vumbi kama una gari nzuri kama Hardtop unaweza kupita lkn siwezi ku recommend njia hiyo ukizingatia na mvua nyingi zilizonyesha, the best route ni kupita Iringa, Dodoma, Manyoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kule mbeya inatokezea wapi hii njiaHiyo njia inatokea Itigi ni njia ya vumbi kama una gari nzuri kama Hardtop unaweza kupita lkn siwezi ku recommend njia hiyo ukizingatia na mvua nyingi zilizonyesha, the best route ni kupita Iringa, Dodoma, Manyoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Inapita bukobaNataka kujua hii njia ya kushoto yenye blue kwenye Ramani kutoka Mby kwenda Sngd inapita mikoa gani pia nataka kujua route ipi ni convenient kati ya hii na ya kulia kupitia Iringa - Dodoma- Manyoni- Singida kutokea Mbeya
Singida - Mbeya route
View attachment 1457362
Mbeya - Iringa - Dodoma - Manyoni - Singida route
View attachment 1457369
Kwahiyo ili nifike singida nichukue basi la dodoma ,kwamba nifikifika dodoma nachukua usafiri wa singida au pengine kuna bus ambazo destination yake ni singida, au kuna basi za masafa marefu zaidi zinapita singidaNa ndo route ya kuaminika pia. Hata gari za mbeya mwanza ndo zinapita route hiyo. Kipande cha dodoma, manyoni mapaka singida ni kirefu ila ni lami kwanzia unatoka mbeya mjini mpaka unaingia Singida
Sent using Jamii Forums mobile app
Pengine ikawa hivyoInapita bukoba
USINIAMINI
Inapita Makongorosi Chunya inatokea Itigi kisha Mkiwa nakuendelea hadi Singida mjini. Nilipita miaka ya 2013 kwa bus (1200am -0400am ~ 21hrs) sitasahau na wala sitarudia tena.Nataka kujua hii njia ya kushoto yenye blue kwenye Ramani kutoka Mby kwenda Sngd inapita mikoa gani pia nataka kujua route ipi ni convenient kati ya hii na ya kulia kupitia Iringa - Dodoma- Manyoni- Singida kutokea Mbeya
Singida - Mbeya route
View attachment 1457362
Mbeya - Iringa - Dodoma - Manyoni - Singida route
View attachment 1457369
Hahaha ikoje hiyo njia mkuu, na no Mabasi gani huwa yanapita huko?Inapita Makongorosi Chunya inatokea Itigi kisha Mkiwa nakuendelea hadi Singida mjini. Nilipita miaka ya 2013 kwa bus (1200am -0400am ~ 21hrs) sitasahau na wala sitarudia tena.
Naam, ndio maana nikauuliza umma, maana sijawahi kuisikia hii barabaraInabidi tuchunguze asee
USINIAMINI
Wakati huo barabara ilikua ya vumbi ila yenye kuchongwa vizuri na kulikua na bus mbili (super service na Ally said kama sijachanganya majina ) na zilikua zinapisha siku moja moja. Tatizo (kwa wakati huo) bus ndani linajaa viroba/ vipetu vya mchele na kila kijiji linasimama (pandisha shusha kama daladala). Pia sitasahau burudani kutoka kwa ndungu zetu wa kanda ya ziwa maana walikua wanaimba nyimbo za kwao usiku ule na kutufanya tusahau karaha na kero ya safari.Hahaha ikoje hiyo njia mkuu, na no Mabasi gani huwa yanapita huko?