Huwa najiuliza hivi siku upinzani ukichukua nchi utaanza kutatua kero za wananchi moja kwa moja au utaanza kulipa kisasi? kukamata kamata watu na kusukuma ndani? kukumbushia wapi walionewa kama jibu litakuwa ni kuwakaMAta wakina Makonda, wakina Hapi wakina Mzee Magufuli (bila kujali kinga) wakina Jakaya, wakina Mkapa wakina Ndugai wakina Chalamila ,wakina Bashiru , wakina kangi lugola , wakina waiatara basi upinzania hautaruhusiwa kuchukua dola hata kwa kujaribu watu watapigania kubaki madarakani yaani bora mikojo imwagike maana hawata kubali
lakini kama itakuwa ni kutatua matatizo ya wananchi sioni tatizo la kupeana kijiti
Hivyo Chungeni midomo yenu ya kusema siku tukichukua dola wakina Kigwangala wajitafutie Gereza
Alloyce Nyanda
Mtozi
JUKWAA LA TAARABU TAFADHALI!!!Wao wanavyoongea vijiingereza vyao vya kunywea maji basi wanakisahau hata kiswahili, ambayo ni lugha mama ya Taifa wanaendekeza vijilugha vya kukopi wakati ukimwambia hata Mbowe aongee kiingereza kwa Dakika mbili tu hawezi sasa vijikampeni vya Mbowe ni na wafuasi wake vinakera na vinavhefua sana wanajifanyaga wajuaji sn wanajua kila kitu kumbe hamnazo
Pepo la visasi Nafikiri litaendelea kubaki huko huko liliko.Hawa jamaa wametendewa/wanatendewa mabaya mengi sanaaaaa Lakini Popote wanapoongea wanasisitiza AMANIHuwa najiuliza hivi siku upinzani ukichukua nchi utaanza kutatua kero za wananchi moja kwa moja au utaanza kulipa kisasi? kukamata kamata watu na kusukuma ndani? kukumbushia wapi walionewa kama jibu litakuwa ni kuwakaMAta wakina Makonda, wakina Hapi wakina Mzee Magufuli (bila kujali kinga) wakina Jakaya, wakina Mkapa wakina Ndugai wakina Chalamila ,wakina Bashiru , wakina kangi lugola , wakina waiatara basi upinzania hautaruhusiwa kuchukua dola hata kwa kujaribu watu watapigania kubaki madarakani yaani bora mikojo imwagike maana hawata kubali
lakini kama itakuwa ni kutatua matatizo ya wananchi sioni tatizo la kupeana kijiti
Hivyo Chungeni midomo yenu ya kusema siku tukichukua dola wakina Kigwangala wajitafutie Gereza
Alloyce Nyanda
Mtozi
hakuna kitu kama hicho unafikiri lissu anavyoamini kapigwa na serikali si atamaliza hata miaka kumi anarudishaga kisasi tu hawafai hawa hata kujaribu wataishia ubunge tu
hapa kazi tu bila itikadi/dira/phylosophy ni wendawazimu na makelele tu ya mjiniHapa kazi tu! Ni masimango.