Hivi hii shahada yangu kuiweka kwenye chips ni halali kweli?

kofia ya plastiki

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2019
Posts
416
Reaction score
405
Karibuni Wana zuoni, wachambuzi, Wanafalsafa, Wana saikolojia mniweke Sawa hapa nataka kuanza Choma chips baada ya kuona milango ya ajira migumu lakini nahisi najipeleka kwenye kada isiyo yangu na kutoitendea Haki my hanorable bachelor. Nawasilisha
 
Jiwekee Malengo mkuu, tunza hela, jaribu kuishi kama huna degree vile, jitahidi kuizungusha kila shilligi unayoingiza iwe na faida.Maisha ni safari na utajiri ni mchakato wenye kuhitaji muda ili uje uufaidi utajiri wako..
 
Hapo nimekupata Sawa sawa
 
Kama unaweza kuishi kwa sababu ya Chips kwanini ukomae kwa cheti ambacho hakina msaada wowote kwako kwa sasa? Taaluma uliopata haikufanyi uwe VIP.

Kama umegundua chips inaweza kusogeza maisha yako kwanini uione kama kazi iliyo chini ya hadhi yako?

Fikiria kwa mara nyingine kipi bora kati ya pesa na hayo makaratasi ya sementi za Bamburi.
 
Vizuri Sana mkuu nimekuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…