molely molly
JF-Expert Member
- Nov 28, 2011
- 317
- 30
Hv mwanafnz akiwekewa alama
E kwenye matokeo yake ina maana gan?
wadau naombeni kujuzwa inamaana shule ya kibohehe imekatiwa matokeo ya wanafunzi wotee? au kuna uzembe wa shule matokeo yao yasiwe displayed? coz nimeingia naona -----haa!