Hivi hii sio fitna -be in kigoma before the train leaves dar

Hivi hii sio fitna -be in kigoma before the train leaves dar

MAKULUGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2011
Posts
7,828
Reaction score
10,527
kUNA TANGAZO HUMU LA PRECESION LINASEAM BE IN KIGOMA BEFORE THE TRAIN LEAVES DAR!
Hivi ni kwa nini wanafitini kashirika ketu ambako ndio tunakufufua ! Kwani nini wataje reli na wakijua reli ni moja tu TZ!
Wameua ATC na huku ambako sio mshindani wao jamani!
 
Hiyo ni lugha ya biashara ndugu yangu!! Biashara ni ushindani
 
kwani ni uongo? BE IN KIGOMA BEFORE THE TRAIN LEAVES DAR? hivi ulishawahi kupanda treni? unaondoka Dar saa 10 jioni Morogoro unaingia saa 5 usiku. HII NI KWELI TUPU
 
Kwa precision ambayo unaweza tumia hadi masaa 9 kufika kgm; bora hata ATC wangesema "be in Kigoma before you reach railway station".
Maana unaondoka kwako saa 10alfajiri, unafika mwanza saa 1 asbh, unasubiri kufaulishwa hatimaye Kigoma saa 9 mchana.
 
Back
Top Bottom