Mod usitoe ili tujadili. Hivi vitendo vya kutoa pesa nyingi kupitia harambee makanisani, miskitini na vijana wa bodaboda wakati unakimbilia kugombea hii si ni rushwa? Kama ni rushwa mbona TAKUKURU wamekaa kimya?
Wanasiasa watakwambia siyo RUSHWA bali ni TAKRIMA.Kwa hiyo ni sasa wapiga kura na waumini wa makanisani kusema HAPANA kwa hii TAKRIMA.Dhambi ya wizi haitolewi kwa kutoa MICHANGO ya kanisa.