Top gun maverick
JF-Expert Member
- Dec 10, 2017
- 2,080
- 2,871
Habari wana JF!
Juzi niliamka nikawa najisikia dalili za malaria na nikaenda kucheki kwenye kituo cha afya na kukutwa na wadudu watatu hivyo doctor akaniambia unatumia dawa gani nikasema metakefini hivyo nikaenda pharmacy nakuulizia dawa ya metakefini nikapewa metakefini iliyoandikwa sulphurdar nikauliza mbona hii metakefini IPO tofauti na zile zingine yule nurse akaniambia ni aina mpya ya metakefini.
Sasa kwenda nyumbani kusoma vizuri lile box lake limeandikwa caution: for pregnant women only. Ikabidi nisimeze kwanza maana Mimi ni wa kiume, sasa naomba ushauli nikitumia hakuna side effect jamani?