Top gun maverick
JF-Expert Member
- Dec 10, 2017
- 2,080
- 2,871
Wamekupiga mkenge japo zote zimetengenezwa na mchanganyiko unaofana sulphadoxine pyrimethamine, ila Sulphadar na Metakelfin ni brand mbili tofauti. .. Wengne huzungka na kusema metakeflin ya Tz na metakelfin ya Kenya. Japo zote mbili lengo lake ni kwa wajawazitoHabari wana jf juzi niliamka nikawa najisikia dalili za malaria na nikaenda kucheki kwenye kituo cha afya na kukutwa na wadudu watatu hivyo doctor akaniambia unatumia dawa gani nikasema metakefini hivyo nikaenda pharmacy nakuulizia dawa ya metakefini nikapewa metakefini iliyoandikwa sulphurdar nikauliza mbona hii metakefini IPO tofauti na zile zingine yule nurse akaniambia ni aina mpya ya metakefini .sasa kwenda nyumbani kusoma vizuri lile box lake limeandikwa caution: for pregnant women only. Ikabidi nisimeze kwanza maana Mimi ni wa kiume .sasa naomba ushauli nikitumia hakuna side effect jamani
kwa hio metakefini hazifai kwa menWamekupiga mkenge japo zote zimetengenezwa na mchanganyiko unaofana sulphadoxine pyrimethamine, ila Sulphadar na Metakelfin ni brand mbili tofauti. .. Wengne huzungka na kusema metakeflin ya Tz na metakelfin ya Kenya. Japo zote mbili lengo lake ni kwa wajawazito
kwa hio Mimi men metakefini nimekuwa nikitumia kwa muda mrefu sana INA maana hazifai kwa wanaume au kuna effect gn mkuuDoctor angekufahamisha zaidi , sulphadar ni fansider ya Tz na orodar ni fansider ya Kenya. Kama SP ni kwa ajili ya wajawazito tu doctor angekujulisha
Meza tu hazna shidakwa hio metakefini hazifai kwa men
okMeza tu hazna shida
aha sawa thanks mkuuKama inakutibu haina shida ila sulphadar uliyopewa sio metakelfin ni fansider ambayo ina sulphar kuliko metakelfin