Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,848
- 7,762
Ukweli 100%mara nyingi mtu wa namna hii hata kutandika kitanda anacholalia ni shida! hata kufua pia ni shida, chunguza mkuu, wapo rafu sana
Uvaaji huu unakera, hata wewe hapo kuna jambo ukiliona linakukera, sema tu hutaki kusema.Mtu kanunua viatu vyake wewe unataka kumpangia namna ya kukivaa!
Nawe ungekuwa unafuata yako usingefungua Uzi huu au kukoment.
Unakereka hata kama viatu vilivyokanyagiwa sio vyako?Uvaaji huu unakera, hata wewe hapo kuna jambo ukiliona linakukera, sema tu hutaki kusema.
Ndiyo maana nikahusisha na ugonjwa.Kifupi ni kutokujali,na ni suala mtambuka hatajali mambo kwenye maeneo mengi tu
Ndiyo maana nikahusisha na ugonjwa.
Ukimaliza hao uje kwetu ambao tunanunua mashati ya mikono mirefu lakini kila tukivaa tunakunja mikono wakati mashati ya mikono mirefu yapo.Halo JF habari mchanganyo.
Nimeishi na kuona watu baadhi wenye tabia hii kuhusiana na viatu vyao bila kujali ni vipya au vimeisha. Mtu hataki kuvaa kiatu inavyotakikana. Yaani anakanyagia tu, haswa sehemu za visigino haswa viatu vyenye kufunika na sio sendo.
Mwingine kiatu kipya kabisa wala hajali anakanyagia tu na Mara nyingi wenye hulka hii hawavai soksi.
Sasa najiuliza tabia hii ya uharibifu viatu sio ugonjwa kweli?
hapa natype huku nimekanyagia viatu.twenti twenti kila MTU apambana na yake babu.Halo JF habari mchanganyo.
Nimeishi na kuona watu baadhi wenye tabia hii kuhusiana na viatu vyao bila kujali ni vipya au vimeisha. Mtu hataki kuvaa kiatu inavyotakikana. Yaani anakanyagia tu, haswa sehemu za visigino haswa viatu vyenye kufunika na sio sendo.
Mwingine kiatu kipya kabisa wala hajali anakanyagia tu na Mara nyingi wenye hulka hii hawavai soksi.
Sasa najiuliza tabia hii ya uharibifu viatu sio ugonjwa kweli?
Hizo zitakua genetic disorders [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Halo JF habari mchanganyo.
Nimeishi na kuona watu baadhi wenye tabia hii kuhusiana na viatu vyao bila kujali ni vipya au vimeisha. Mtu hataki kuvaa kiatu inavyotakikana. Yaani anakanyagia tu, haswa sehemu za visigino haswa viatu vyenye kufunika na sio sendo.
Mwingine kiatu kipya kabisa wala hajali anakanyagia tu na Mara nyingi wenye hulka hii hawavai soksi.
Sasa najiuliza tabia hii ya uharibifu viatu sio ugonjwa kweli?
au sio babu?hapa natype huku nimekanyagia viatu.twenti twenti kila MTU apambana na yake babu.
NajaUkimaliza hao uje kwetu ambao tunanunua mashati ya mikono mirefu lakini kila tukivaa tunakunja mikono wakati mashati ya mikono mirefu yapo.