Hivi hii tabia nayo sio ugonjwa kweli?

Hao ndio wananunua viatu vipya kila mwezi halafu wanasema hali ya maisha ngumu.
 
Kati ya binadamu wanao niboa duniani ni hao pia nawale wanao kanyagia jeans
 
Mimi mtu anayetembea anaburuza miguu ananikera sana. Tena afadhali kidogo mwanamke ila mwanaume unashindwa kunyanyua mguu wakati wa kupiga hatua ni fedhea sana,utakuwa ugonjwa pia
 
Tabia hiyo nilikuwa nayo chuo nikitoka darasani nikuvua viatu vinakanyagwa hadi hostel..siwezagi kuvaa kiatu Cha kufunika kwa muda mrefu nahisi ni tabia yenye mazoea ndani yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi kukanyagia napenda kwa sababu napenda kuvaa sandalz. Viatu vya kufunika vinanipa shida yaani vya kamba ndio kabsaaa
 
Kati ya binadamu wanao niboa duniani ni hao pia nawale wanao kanyagia jeans
kuna jamaa yangu anakanyagia jeans huwa inanikera balaa

mie pia sipend kuona mtu kavaa wigi, nguo iliyo lowana ama anaye ongea kwa makelele ama mtoto kulia
 
Ukimaliza hao uje kwetu ambao tunanunua mashati ya mikono mirefu lakini kila tukivaa tunakunja mikono wakati mashati ya mikono mirefu yapo.


Men akikunja shati anapendeza sana..km ana height
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…