Hivi, Hiki kipindi kinaelimisha nini?

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
Kuna hiki kipindi knaitwa skonga knarushwa kila cku ya ijumaa kuanzia saa 1 jion hadi saa 2 ucku ktk television ya EATV, hvi huwa kinafundsha nin,maana me hata huwa ckielewi.
 
Kama hukielewi unakitazama cha nini?
pilipili usizozila zakuwashia nini....
 
Toa umbea wako hapa. Tena muacheni jamaa ndoa yake bado mpyaaaa.
Wewe hao under 18 wangapi ushawaharibia?
Wewe ndo mke wake?..kama ndiyo mwambie mume wako ujanja wake wa kishamba alivyokuwa anawagonga hao. U18 alikuwa hatakiwi kujitangazia!wakali tulikuwa tunamchora tu!
 
Bangi mbaya sana! Siamini kama kweli hujaona mafundisho ya hicho kipindi...kama ningekuwa mod ningekupa ban kwa kuuliza swali la kijinga na vile unavoonesha sio great thinker.RUdi fbook!
 
Wewe ndo mke wake?..kama ndiyo mwambie mume wako ujanja wake wa kishamba alivyokuwa anawagonga hao. U18 alikuwa hatakiwi kujitangazia!wakali tulikuwa tunamchora tu!

Haa haaa haaaa!! Muuza Sura bhana.
 
Wewe ndo mke wake?..kama ndiyo mwambie mume wako ujanja wake wa kishamba alivyokuwa anawagonga hao. U18 alikuwa hatakiwi kujitangazia!wakali tulikuwa tunamchora tu!

dah!muuza sura punguza hasira mkuu.
 
Bangi mbaya sana! Siamini kama kweli hujaona mafundisho ya hicho kipindi...kama ningekuwa mod ningekupa ban kwa kuuliza swali la kijinga na vile unavoonesha sio great thinker.RUdi fbook!

we kama umeyaona hayo mafundsho c uyaniambie kuliko kuandka uharo ka huo.
 
...duh....nina uhakika alan anapitia huu uzi...
Jitetee alan...
 
Wewe ndo mke wake?..kama ndiyo mwambie mume wako ujanja wake wa kishamba alivyokuwa anawagonga hao. U18 alikuwa hatakiwi kujitangazia!wakali tulikuwa tunamchora tu!

Ha ha ha ha ha ha ha!! Yaani kweli shule nzuri, kama hujakanyaga shule unakua na fikra fupi kama pimbi.
Unavyoongea huo upuuzi wako una uhakika gani? Ama ulimshikia mguu? Usiwe mtu wa kukurupuka na kukandia watu wanaofanya mambo yao vizuri sababu ya "WIVU WA KIKE". Ama ulitaka wamzungumzie bw.abw.a Hemedi ili uje kumsifu?
Unatoka pooovu kisa tu kumpondea mtu mkaree!!
Kweli ushamba mzigo.
 
Kipindi cha Skonga kinawapa fursa wazazi kutazama hali halisi ya watoto wao wawapo shuleni nini wanafahamu kitaaluma na kijamii hususan kwenye ile segment ya Q n' A......!
 
dah!muuza sura punguza hasira mkuu.

Senetor..sina hasira mkuu nilikuwa namwambia mke wa jamaa kama mme wake alikuwa anafeli!au nimekosea?kama nimekosea samahani na niombee msamaha kwa mke wa allan anayejiita shella sijui shilli humu jamvini
 
Last edited by a moderator:
Kwan mtu haruhusi kurifresh? Kwel sio kila anaetazama anaona' du!
 
Kuna hiki kipindi knaitwa skonga knarushwa kila cku ya ijumaa kuanzia saa 1 jion hadi saa 2 ucku ktk television ya EATV,hvi huwa kinafundsha nin,maana me hata huwa ckielewi.

Soma
Kitabu
Ongeza
Nia na
Gadhabu
Ari ya mafanikio

Tumetokolezea kipindi ni kizuri allan na madent wametokolezea
 
...Kina mzamini nadhani ndio faida kubwa ya kipindi ktk tv's stations.
 
Kwan mtu haruhusi kurifresh? Kwel sio kila anaetazama anaona' du!

haya maisha yalivyo magumu,nyie wenzetu mna hadi muda wa kurefresh?
 
Haters at work, Kipindi kinaelimisha sana. I never miss coz napata kujua kizazi tulichonacho kinafanya nini. Maswali rahisi (general knowledge) watoto wanajiumauma ndio tuone elimu yetu inaenda wapi ni ajabu kama wewe huoni hili, KEEP IT UP ALAN.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…