Hivi hiki ndicho Kiingereza cha Profesa Ndalichako?

Kumbu kumu zangu zinasema mwenye mamlaka ya kumuweka mtu ndani kisheria ni Dc au RC.
Sijajua Prof hiyo amri inalindwa na sheria gani? Wajuzi wa sharia najua mpo wengi umu JF, jamanani nielewesheni.
 
Wewe na yeye '' wote Manzi ga nyanza!!!''
 
Kumbu kumu zangu zinasema mwenye mamlaka ya kumuweka mtu ndani kisheria ni Dc au RC.
Sijajua Prof hiyo amri inalindwa na sheria gani? Wajuzi wa sharia najua mpo wengi umu JF, jamanani nielewesheni.
Aaaa!!ahah ahaa!🤣🤣🤣 Sikiliza vizuri Bana kasema hivi '' you are going to stay inside untill......'' Siyo custody wala P/ rock up, wewe umeitafsiri ki-bongo-bongo zaidi yaani ile ya Ma DC '' weka ndani huyu!!!'' huyu anaweza ku stay hata inside the house, Car.
 
Professor anashindwa kutamka 150m kwa kingereza unaona ni sawa tu kwako?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna problem, kama huioni una matatizo. Professor ni Mwalimu aliyeobea kwenye fani yake kwa tafiti na machapisho. Hata kama anajuwa mathematics kama unavyodai, ameshindwa kuongea sentensi nyepesi sana za Kiingereza. Very pathetic, na huyu ndiye Waziri mwenye dhamana ya Elimu nchini.

Kweli hizi ndiyo degrii za chupi zimefika hadi kuwa Waziri
 
Huyu mbona kasoma Canada, alighafirika tu, hatamie ukiniboa huwa nafoka kisukuma nachanganya na kiitaliano siunajua kazi za barabara zimetuathiri
Nini kusoma Canada? Mbona nchi za USA na Canada ndiyo zinaongoza duniani kwa Diploma Mills zile alizozitaja Msemakweli kwenye kitabu chake cha Degree fake. Hakuna Mtanzania aliyewahi kwenda USA au Canada aka disco. Ukienda Canada utarudi na degree tu. Huyu ni zao la degree za chupi za UDSM.
 
Kwani uelewa unapimwa kwa kujua kiingereza? Inaonekana wewe hujaelimika bado sana!
Sa kama unaongea ungese utakuwa unajua nn...yaan uongee utumbo alafu useme uko fit kweny papers
 
Halafu imagine huyu mama mwenye such mediocrity in English language ndiye amepewa dhamana ya Elimu. Tunakwenda wapi Watanzania?
 
Kwa hiyo mkuu asiyejua kingereza maanayake yeye ni kilaza? Kwa hiyo ukijua kuongea na kuandika kingereza tu unakuwa mwerevu kuliko wote
We miaka yote hiyo unafundisha kwa kingereza...umeandika kingereza...ushindwe kujielezea kwa kingereza...huyo hajui...mfate prof Asad uone moto
 
To hell with lame excuses!! Je alikuwa ana defend vipi Thesis zake kwenye Msc na PhD? Nani walikuwa kwenye panel ya kupokea Thesis? Walitumia vigezo gani kumpitisha? Hawa ndiyo wale wanaoitwa marks za chupi.
 
Halafu imagine huyu mama mwenye such mediocrity in English language ndiye amepewa dhamana ya Elimu. Tunakwenda wapi Watanzania?
Kwani elimu ni kujua kiingereza? Unafikiri kujua Kiingereza ndiyo kuelimika mkuu? Unasumbuliwa na utumwa wa akili siku ukielimika utajitambua!
 
We miaka yote hiyo unafundisha kwa kingereza...umeandika kingereza...ushindwe kujielezea kwa kingereza...huyo hajui...mfate prof Asad uone moto
Wewe hapo unaongea kila siku Kiswahili lakini ukiandaliwa mtaharo unaweza ukazidiwa hata na darasa la saba aliyezoea kujieleza kwa Kiswahili mkuu!!
 
Wacha kumlaumu Nyerere kwa umburula wako na Ndalichako. Mbona kuna Watanzania wengi tu wamesoma mpaka Bachelors tu enzi za Nyerere lakini wanapiga English vizuri tu. Usimtetee huyu Ndalichako ni kilaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…