Acheni kutetea ujinga!! Hivi mlikwenda shule kujifunza kuongea kiingereza kibovu? Call a spade a spade Period!! Mnatuabisha!! Ingekuwa Tanzania ni Francophone au Ex Portuguese colony ningeelewa. Profesa mzima anaongea kiingereza kama Shilole au Steve Nyerere mnatetea?? You are horribleNegative impact yake nini? Prof. Kukizungumza English fluently ina impact gani mbovu kwenye wizara yake anayoisimamia?
Ni Utendaji kazi ndo unasimamia majukumu yake au kingereza?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo na wewe hujui Kiingereza kama Ndalichako? Utakesha kutetea na kichwa kitakuuma, andaa Panadol tu. Hatulali leo.
Kama kujua Kiingereza siyo Elimu, kwa nini medium of instruction ya Tanzania kuanzia Form 1 to University level ni English? Kwa nini tunasoma kama somo kwenye Primary to O-Level?
And lastly kwa nini Ndalichako mwenyewe aliamua kujibu kwa Kiingereza? Si alidhani anajua?
Acheni kutetea udhaifu na ujinga
Sasa kama hilo walifahamu shida nini!?
Hiyo sasa siyo shida. Ndo Mungu alivyomuumba.Shida inakuja kwamba wenzake wanajua kiingereza kwa muda huohuo ambao yeye alikuwa shuleni, chuoni nk, hivyo yeye hana kipaji cha kiingereza.
Mbona kajitahidi sana kuongea kizungu, tatizo ni mifumo yetu ya elimu ni mibovu, watoto tunapokuwa nyumbani ni kiswahili kwa kwenda mbele, tukifika shuleni (sekondari) ni kiswahili kwa kwenda mbele tukiingia darasani ni Kiswanglish (kiswakinge) kwa kwenda mbereee, sasa ni lini tunaweza kuwa good at English??![emoji1787]
Tena kasoma Canada with first class, Kuna shida mahala, ndo maana hazipendi English medium
Hiyo sasa siyo shida. Ndo Mungu alivyomuumba.
We umesema unaonge Kiitaliano sasa yeye hapo kaonge Broken English na vocabularies za kutafuta wa torch
Kulinda wigi mkuu [emoji23][emoji23]Hivi nini kazi ya Helmet
Kwahiyo hata kwenye ngeli anaunga juhudiKingreza kinaendana na cha bosiwake!! Bati wayi? Huyo jamaa agome kuwekwa ndani maagizo ya ametakiwa awekwe on sio in
Tuna maoni tofauti lakini mimi hainiingii akilini upate Phd kwa kutumia Kingereza halafu kikupe shida kiasi kile.Kaongea broken gani hapo, mimi nimeona kosa lipo kwenye “on” badala ya “in”
Ishu ya vocabularies ni suala la umespend muda gani unaongea Kiingereza, kwa mazingira ya Tanzania ni ngumu sana mtu
kuwa na mavocabularies mengi mengi.
Na ujue vilevile hakuna kitu kigumu kama hizo prepositions. I do consider myself as a fluent English speaker, but I am always facing the same problem.
Shida mmekuwa brain washed na the positive side ya nyerere, mkiambiwa the negative yake macho, povu na mishipa ya shingo inawatoka.
Mimi sizungumzii watanzania waliosoma enzi za nyerere, mimi nazungumzia umma wa Watanzania in general---ukiangalia kenya au Uganda sisi tuko poor in English comparatively.
Hao ni jirani zetu Anglophone wenzetu. Sasa kwanini ipo hivyo??-- ni siasa za nyerere kuua kiingereza na kuinua kiswahili.
Ilitakiwa lugha zote ziende sambamba.
Kizungu ni lugha gani? Au unamaanisha wazungu wote wanaongea lugha moja!!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app