Dunia ina watu 5.102bn wanaozungumza kiingereza ni 1.179bn sawa na 23.12% hivyo kiingereza sio majority language.That exactly what i mean,hapa kuna KAHOJA kanaletwa kakuona tunaohoji kama tuna ulimbukeni wa kiingereza hivi ,kiingereza huwezi fananisha na kichina ,kiingereza ni kama world standard language ,ukijua kiportugal ukaenda kongo au india hutoboi ,ila ukijua kiingereza hata vijijini china utakutana na anaejua ,so sio ishu kuabudu wakoloni ni kuishi reality asilimia kubwa ya wanadamu wanawasiliana kwa kiingereza
Negative impact yake nini? Prof. Kukizungumza English fluently ina impact gani mbovu kwenye wizara yake anayoisimamia?
Ni Utendaji kazi ndo unasimamia majukumu yake au kingereza?
Sent using Jamii Forums mobile app
Bandugu lugha na taaluma hasa za sayansi havina uhusiano.
Tumesoma na waganda na wakenya Engineering tunaosema ni wajuzi wa kingereza lakini walikuwa wana disco (kufeli) sisi watanzania tunapeta.
Masomo ya sayansi sio ya sheria au uchumi kule ni formula tu.
Professor wetu yuko vizuri mno mimi namfahamu alikuwa anatupeleka puta chuoni namfahamu vizuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
PhD yake sio ya kiingereza, na hiyo siyo lugha yake ya kwanza.Sasa ndio naelewa kwa nini Wizara yake inaboronga inavyoboronga. Ana PhD ya makaratasi lakini si kwenye ubongo.
Ingependeza kama angejikita kusimamia curriculum za mashule na vyuo ambayo ndiyo her defacto job as minister. Hii ya kukagua miradi ya madarasa na majengo angewaachia technical people.
No wonder naye English inampiga chenga kwa vile hakuna anayesimamia mitaala ya English language.
PhD yake sio ya kiingereza, na hiyo siyo lugha yake ya kwanza.
Acheni utoto, stop this nonsense talk.
Kwa mfano mwenye PhD ya mambo ya lugha unamtaka awe mhandisi mzuri sababu ana elimu ya kiwango cha PhD haijalishi amebobea kwenye nini?
Being a PhD holder does not make you 'A Jack of all trades' and a master of everything.
Umesema kweli mjukuu wangu, waziri akague mitaala watendaji ndio wakague Ujenzi wa madarasa. Nilimuona waziri wa maliasili anapambana na majingili ! Badala ya kupanga mikakati ya kuongeza watalii.
Kitu unachosahau kuzungumza nacho ni kipaji kama vipaji vingine, sio kila mtu anakipaji hicho.Lugha rasmi ya sheria na biashara nchi hii ni English. Haiwezekeni mtu aliesoma primary (ambako kwa umri wake English ilikua inafundishwa kuanzia darasa la 3), sekondari lugha ya kufundishia ilikuwa English, higher education kasomea in English, PhD kasomea Canada in English, documentation ZOTE alikofanyia kazi zipo kwa Kiingereza; still unadhani hakuna tatizo yeye kuongea English aliyoongea?
Hatumtarajii awe fluent kama mtu aliesomea linguistic as a profession; but to fail constructing a simple sentence in English??!! A PhD holder who studied in Canada in a program conducted in English??!! REALLY???
Haya; tumpime basi hata kwenye logic kwa kauli zake; are you satisfied with how she explains issues?
To me this smells forgery somewhere.
KISWANGILISHI mama lugha ya nyumbani imetawala anaongea kiingereza Cha kiswahili Mimi sioni makosa.Hapa Waziri wa Elimu, Profesa Ndalichako akitoa maagizo ya kukamatwa Mhandisi Mchina.
View attachment 1315270
KWA WASIOSIKIA VIZURI AMESEMA
‘’Advance payment ya hi nanii milioni mia moja hamsini ,your going to stay on the cell until you provide serious explanation on matter ,because now you cannot play with the government like this ,last time I came here equipment like this ,then you take to another site so your going to stay inside until your give instruction for the equipment you have taken to Dodoma to come back here make sure you have sufficient people to work on the site mheshimiwa sasa kawaweke hawa siwezi kuwa ….’’
CURRICULUM VITAE
Early life and education[edit]
She was born on May 21, 1964, in Musoma, Mara Region in Tanzania. She attended University of Dar Es Salaam from 1987–1991, where she graduated with Bachelor of Science with education, majoring in mathematics. During 1993–1997 she went to University of Alberta, Edmonton, Alberta, Canada, where she obtained a PhD in educational psychology, major in educational statistics & measurement and evaluation.[2]
Career[edit]
- From 2000 to 2005 she was the senior lecturer at the University of Dar Es Salaam teaching educational measurement and evaluation, research methods, and educational statistics, supervising dissertation of the students.[3][2]
- From 2014 to date she has been the associate professor and deputy head researcher at Agha Khan University Institute for Educational Development, East Africa [2][3]
Kiingereza si lugha yetu
KIINGEREZA SI LUGHA YETU __________________ Kumbukumbu zinanirudisha zaidi ya miaka 10 nyuma tukiwa kwenye vimbweta vya Tegeta High school na wanangu Mdax, DVd pamoja na kizazi tukikata topic ya colonialism in Africa. Tayari tumeishakula mihogo yetu ya kukaanga na kachumbari nyingi yenye...www.jamiiforums.com
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimefuatilia uzi huu lakini umenitibua ulipotamka Ali Mufuruki.Yaani kingereza cha marehemu hata watasha wenyewe (ondoa Uk,USA,Canada na few english speaking countries) kwa huyo marehemu walikuwa cha mtoto.Mfano mzuri marehemu Ali Mufuruki: alisomea Ujerumani na alikuwa akiongea kiingereza kizuri sana!
PhD yake sio ya kiingereza, na hiyo siyo lugha yake ya kwanza.
Acheni utoto, stop this nonsense talk.
Kwa mfano mwenye PhD ya mambo ya lugha unamtaka awe mhandisi mzuri sababu ana elimu ya kiwango cha PhD haijalishi amebobea kwenye nini?
Being a PhD holder does not make you 'A Jack of all trades' and a master of everything.
Mbona kajitahidi sana kuongea kizungu, tatizo ni mifumo yetu ya elimu ni mibovu, watoto tunapokuwa nyumbani ni kiswahili kwa kwenda mbele, tukifika shuleni (sekondari) ni kiswahili kwa kwenda mbele tukiingia darasani ni Kiswanglish (kiswakinge) kwa kwenda mbereee, sasa ni lini tunaweza kuwa good at English??!🤣