Hivi hiki ndicho Kiingereza cha Profesa Ndalichako?

Sie wengine English yetu mpaka uigongee nyagi, watetezi mnakazi kweli kweli, inabidi mdai posho za overtime!
 
Dunia ina watu 5.102bn wanaozungumza kiingereza ni 1.179bn sawa na 23.12% hivyo kiingereza sio majority language.
Umeelewa kweli ? mandaline chinese ina wazungumzaji 1.1 bil ndo inaidadi kubwa na asilimia 90 ya waongeaji wake wako hapo hapo china .asilimia 95 + ya wazungumzaji wa kiingereza hawatokei britain ,asilimia 95 ya maraisi wote duniani wanajua english .less than 3 wanajua chinese
hahaha and indeed you need collection .we are not talking about a mediocre here,she has been an associate prof and head of research at Agakhan institute of educational development .daily collecting complex dissertations of masters students I mean complex ones .
 
Mandaline*

its Mandarin
 
Watu wanataka aongee Kiingereza kama cha Patrice Lumumba wa Kenya. Nafikiri kwa fani yake kama mathematician kinamtosha, tena amezidi kidogo.
 
Tukiiangalia dunia kama familia au kijiji siyo vibaya kuwa na ikibidi hata lugha moja inayoweza kuzungumzwa na wakazi wote wa hii dunia.

Leo hii kiingereza kinazungumzwa na watu wengi duniani, ingeweza kuwa ni Kiswahili pia lakini haikuwa hivyo.

Watu wanacho shangaa hapa ni kuwa waziri wa elimu tena profesa alieyetokea chuo kikuu cha mfano cha nchi kaongea kiingereza alichoongea.

Kwa nidhamu na maadili ya kitanzania ni tatizo kumchambua mkubwa anapokosea.

Wanaosema hawaoni tatizo lolote huenda ni wale watu wa utetezi kama vile 'debate' za mashuleni. Lakini nina uhakika waziri huyo huyo akiambiwa arudie kuongea na hasa baada ya kusoma yaliyoandikwa humu hata rudia kuweka neno 'on' pale alipoliweka.

Tatizo la kiingereza ni la kitaifa tusione aibu kulifanyia kazi kwa kusingizia kuwa ni lugha ya wakoloni.

Zamani huko vijijini ilikuwa akitokea mzungu watu walikuwa wanawategemea walimu kusaidia kutafsiri.

Siku hizi si ajabu mwalimu akatengeneza kisingizio asiifanye kazi hiyo. Je, wanafunzi watapata msingi mzuri kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda Udsm utakutana na Prof Rugeiyam halafu nenda open university utamkuta Prof Ralph Masenge. Yaani unafurahia somo sababu unajifunga ngeli na namba humo humo. Yaani kingereza kimenyooka kama pasi za Alexander Arnold
 
Mkuu, its mere reasoning beyond reasonable doubt ku raise claim kuwa prof. kutoongea fluent English inaeza kuwa na negative impact.
 
You got the point Bro.
 
Watu wanataka aongee Kiingereza kama cha Patrice Lumumba wa Kenya. Nafikiri kwa fani yake kama mathematician kinamtosha, tena amezidi kidogo.
Kabisa Kiongozi. Kongole!
 
Nenda Udsm utakutana na Prof Rugeiyam halafu nenda open university utamkuta Prof Ralph Masenge. Yaani unafurahia somo sababu unajifunga ngeli na namba humo humo. Yaani kingereza kimenyooka kama pasi za Alexander Arnold
Im Engineer, those days sikuhitaji Prof, who was fluent in English . i only needed lecturerer ambaye ata add something technical to my mind.
 
Huyu ni mtaaluma,specifically in academics hence we as United Republicans......expect much better from her.Qualificatios na credits zake hazijajikita katika sayansi ya viumbe hai au usanifu mitambo,ni academics.Sasa kama English kwake ni shida na wizara anayoongoza ni ya elimu,vipi kuhusu lugha zingine za kimataifa......anawasilianaje na wataaluma wengine wa nchi zingine?Do you think as United Republicans we deserve as such?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani hawa ndiyo akina sio.....wale wa'akina "down down" hadi unainama kidogo na una'point chini.......[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dunia ina watu 5.102bn wanaozungumza kiingereza ni 1.179bn sawa na 23.12% hivyo kiingereza sio majority language.
Bora hata umemwambia.
Akumbuke kiarabu huwa kinashika nafasi ya kwanza kwa kuzungumzwa Duniani.
 
Acha uongo, mtu aliye bright anakuwa na uelewa wa vitu vingi ikiwa lugha bila kujalisha masomo waliyosoma. Kuna watu kama akina prof Luhanga, Mwandosya au Maboko, wamesoma sayansi ila ukiwasikia au ukiona wanavyoandika utadhani walisoma KLF. Hakuna sababu yoyote ile mtu anasoma zaidi ya miaka 15 kwa kutumia Kiingereza afu anashindwa kutunga sentensi ya kawaida tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora hata umemwambia.
Akumbuke kiarabu huwa kinashika nafasi ya kwanza kwa kuzungumzwa Duniani.
cha kwanza kuzungumzwa ni mandaline chinese ikifuatiwa na kiingereza ,kiarabu ni cha tano huko top 10 ,tusibishane soma hapa
Aidha kiingereza kinanaongoza duniani kwa kuwa na waongeaji ambao sio lugha yao ya kwanza duniani,kiarabi asilimia 80 ya wazungumzaji wako middle east hapo hapo ni kama kichaga tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…