Dong Jin
JF-Expert Member
- Jun 4, 2018
- 968
- 2,034
Tokea mwaka 2012 alipofanyaga tamasha la Diamonds Are Forever, Watu wamekuwa wakimtabiria kuanguka soon! Nauliza hiyo soon 'karibia' haifiki tu? Maana sisi km team Wasafi tushazichoka hizo ndere zenu zisizo na faida.
Kama mmeshindwa kumshusha si mtulie tu? Wakina sie tuendelee kumpaisha, nyie muwe mnashuhudia huku viroho vinawauma.
Kama mmeshindwa kumshusha si mtulie tu? Wakina sie tuendelee kumpaisha, nyie muwe mnashuhudia huku viroho vinawauma.