Hivi hili ANGUKO la Diamond Platnumz halifiki tu? Maana ndele zimekuwa nyingi

Dong Jin

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2018
Posts
968
Reaction score
2,034
Tokea mwaka 2012 alipofanyaga tamasha la Diamonds Are Forever, Watu wamekuwa wakimtabiria kuanguka soon! Nauliza hiyo soon 'karibia' haifiki tu? Maana sisi km team Wasafi tushazichoka hizo ndere zenu zisizo na faida.

Kama mmeshindwa kumshusha si mtulie tu? Wakina sie tuendelee kumpaisha, nyie muwe mnashuhudia huku viroho vinawauma.
 
Huyo mtu anayesema atashuka hiv anashughuli nyingine ya kumweka mjini kuliko kushughulika na mtu ambaye hakujui.
 
Sawa, kachukue 10,000/= ikusogeze leo hii kwa kumpigia debe Diamond maana umewazidi wapambe wake kwa kutokukaa kimya.
 
Keshashuka zamani imebaki historia tu
 
Hivi karibuni wamakonde wameibuka na team konde
 
What is Diamond?
Diamond is the process which deal with the abnomal things that introduced by doing big things shining like a ster in Africa n all over the world with big people in entertainment political parties and organic science demonstration of course the same time as the market leaders in this category
 
Aanguke Mara ngapi Mkuu? Dimond wa Nitarejea,Namba1 ndio huyo wa anayetoa MABOKO kila Siku? Tofautisha kusikika kwa Kiki au kufanya Show,hata Qchief ,TID wanafanya Show.
 
Dua la kuku huwa halimpati mwewe...... Watasubiri sana. Acha tukampigie kura tusombe zote 6.
 
Niko nasubiri anguko la Ali kiba.......huyo mwingine nmekata tamaa ya kusubiri anguko lake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…