Hivi hili JUKWAA UDAKU/UKUDA ni KIPAUMBELE?

amakyasya

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2013
Posts
3,480
Reaction score
914
Nimeona story nyingi ni za udaku/ukuda na chache sana ni uhalisia! Je hili jukwaa ni lazima kuweka kipaumbele story feki au udaku/ukuda? Magazeti ya udaku yamechukua nafasi kubwa hapa ambapo mara nyingi story zake si za kweli hata kidogo!
 
Mfano IPI ni ya uongo?
 
Ndo nasubiri jibu manake alipotokea hata hapajulikani Kama mvua za august na september.

Hahhhhhhaaaaa,shogerii mbona hukunimalizia ya kuhongwa magari jamanii uliniacha presha juu kama Antena za wachina
 
heeh shouger nawe utashindwa kujitokeza kisa umbea wa humu. tutamwagiwa pombe shereheni we haya tu
 
Shoga mi na sherehe vitu tofautii nazohudhuria huku zinatosha kabisa

umesikia hahahahahaha uhudhurie una 'standard' wewe ?eti ni kwa "standards" yes ni kweli hata kwa wale walioahidiwa magari ilikuwa ni standard pia ya watu wa namna ile
 
Hhhhaaaaaaaa aiseeee mna manenooo
 
Hhhhhhaaaaaaaaaa looo unanichekeshaa,yaani nitoke huku kizugwangoma nije Dar kisa Party mbona ni sheeedaaa

Hahahaaa...unanchekesha eti kizugwangoma...sema tu huna standards....heheheee!
 
umesikia hahahahahaha uhudhurie una 'standard' wewe ?eti ni kwa "standards" yes ni kweli hata kwa wale walioahidiwa magari ilikuwa ni standard pia ya watu wa namna ile

shogangu hiyo tabia umeanza lini ya kunyimina ubuyu wa babu issa?
 
Back
Top Bottom