Mfano IPI ni ya uongo?Nimeona story nyingi ni za udaku/ukuda na chache sana ni uhalisia! Je hili jukwaa ni lazima kuweka kipaumbele story feki au udaku/ukuda? Magazeti ya udaku yamechukua nafasi kubwa hapa ambapo mara nyingi story zake si za kweli hata kidogo!
Mfano IPI ni ya uongo?
Hapo chacha.....na atueleze
Ndo nasubiri jibu manake alipotokea hata hapajulikani Kama mvua za august na september.
Hahhhhhhaaaaa,shogerii mbona hukunimalizia ya kuhongwa magari jamanii uliniacha presha juu kama Antena za wachina
heeh shouger nawe utashindwa kujitokeza kisa umbea wa humu. tutamwagiwa pombe shereheni we haya tu
Shoga mi na sherehe vitu tofautii nazohudhuria huku zinatosha kabisa
umesikia hahahahahaha uhudhurie una 'standard' wewe ?eti ni kwa "standards" yes ni kweli hata kwa wale walioahidiwa magari ilikuwa ni standard pia ya watu wa namna ile
Ndo nasubiri jibu manake alipotokea hata hapajulikani Kama mvua za august na september.
Shoga mi na sherehe vitu tofautii nazohudhuria huku zinatosha kabisa
Si useme tu hujawa invited...acha kujishaua...!
Hhhhhhaaaaaaaaaa looo unanichekeshaa,yaani nitoke huku kizugwangoma nije Dar kisa Party mbona ni sheeedaaa
Hahahaaa...unanchekesha eti kizugwangoma...sema tu huna standards....heheheee!
Hahahah naona unatafuta ugomvi na binamu yake na kina nanihii. Ngoja ninunue popcorn nicheki hili muvi.Si useme tu hujawa invited...acha kujishaua...!
umesikia hahahahahaha uhudhurie una 'standard' wewe ?eti ni kwa "standards" yes ni kweli hata kwa wale walioahidiwa magari ilikuwa ni standard pia ya watu wa namna ile
Hahahah naona unatafuta ugomvi na binamu yake na kina nanihii. Ngoja ninunue popcorn nicheki hili muvi.
Mzima wewe? Ndio nini kunitosa?Huyu Shoga angu...namzingua tuuu....
Mzima wewe? Ndio nini kunitosa?