Wadau,eti kuna rafiki yangu amebreak na gal wake hata week haijapita,jamaa kammiss gal,kajipendekeza kumpgia sim,gal kapokea fresh,ila ndo hvo mmanzi kamwambia mshkaji tayari ana mtu mwingne,hvi inawezekana kwel ndan ya wk mtu abreak na kudate na jamaa mwingne au maghumashi tu?
Unashangaa nini, asubiri kwani yuko eda
Wakitendwa huwa rahisi sana kulalamika, mtu umeachana nae unamfatilia wa nini???hata angempata kesho yakeIsitoshe pengine jamaa alikuwa anamzingua na alikuwa na hamu waachane :]]
Unashangaa nini, asubiri kwani yuko eda
Kwani huyo rafiki yako hakujua kwamba siku zote huwa kunakuwa na waiting list? Kama alikuwa anatikisa kiberiti, itakuwa imekula kwake!
Wakitendwa huwa rahisi sana kulalamika, mtu umeachana nae unamfatilia wa nini???hata angempata kesho yake
Sasa hujui kama kuna WAITING LIST?