Mimi nashindwa kuelewa kama ni tatizo kwani nimekuwa nikipata maumivu makali nikikaribia menstruation na nikiwa kwenye ovulation. Tiba yake ni nini maana napata maumivu sana, nina miaka 23, asanteni kwa mchango wenu.
Mamito, maumivu ya tumbo la uzazi yanatokana na muscles contraction and relaxation ili kusaidia kuvunjika kwa ukuta wa damu (wakati wa hedhi) na kusafiri kwa yai kuelekea kwenye kizazi kutokea kwenye fallopian tube na ovary (wakati wa ovulation).
Unaweza kujaribu kupunguza maumivu haya kwa kuwa na maisha active na kufanya mazoezi. Kama maumivu yanaendelea, unahitaji kumuona dr bingwa wa wanawake huenda kuna tatizo. Pole sana.
Hii tunaita dysmenorrhea, wala halihitaji specialist, maumivu yakizidi sana, chukua diclofenac tabs 50mg tds anza siku tatu kabla ya kuanza hedhi na endelea mpaka siku tatu baada ya hedhi. Fanya hivyo wakati wote huwa inafika mahali maumivu hayo yanaisha.
Maumivu yakizidi mwone Dr says Dr Mupirocin