Hivi hili neno haki lina maana gani hasa?

She loves Me

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2017
Posts
809
Reaction score
939
Wadau za saa hz? Mie naomba kuuliza tu, hivi hili neno haki lina maana gani hasa?

Unakuta mwanasiasa mpinzani anasema yupo tayari kufa kwa ajili ya kutafuta haki.

Mwenye madaraka nae anasema hvohvo,

Wanahabari nao hivohivo

Ukija kwa wanaharakati halikadhalika.

Jeeeeeee kipi ni kipi hapo?

Nimejiuliza tu, hivi nikwel wanaopotea huwenda wanakutwa na unyama kama huo hapo chini??????[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

EEEE MOLA TUOKOE INSHAALLAHView attachment VID-20181120-WA0008.mp4
 

Attachments

Nchi ya kiislamu Saudi Arabia hiyo

Watu wanaenda kuhiji mmh khashogi wanamchinja Kama mbuzi

Islamic State huko, Alshabab wao

Kweli Dini hizi zina mambo Hapo wanaofanya ni waislamu toka Saudi Arabia
 
Na wa huku kwetu ni waislam kutoka wap?
Nchi ya kiislamu Saudi Arabia hiyo

Watu wanaenda kuhiji mmh khashogi wanamchinja Kama mbuzi

Islamic State huko, Alshabab wao

Kweli Dini hizi zina mambo Hapo wanaofanya ni waislamu toka Saudi Arabia
 
Na wa huku kwetu ni waislam kutoka wap?
Nimeamini mpaka mwaka wa 600,Hakuna Mtu aliyejua kusoma wala kuandika Katika mji wa Mecca

Misri watu walijua kusoma karne nyingi sana

SAUDi Arabia nchi bora ya kiislamu wanaonyesha upande wa pili wa hizi dini za kiislamu

Mtu anachinjwa Kama mbuzi
 
Watawala husema eti ni lzima ku eliminate wachache kwa maslahi ya wanyonge na taifa kwa ujumla
 
Umefanya vizuri kuuliza maana ya neno hili haki;
Kwangu mimi haki ni ile sababu ya uhai, sababu ya kuishi, yaani sababu uwepo. Kulingana na mapokeo yatokanayo na malezi , binadamu hujikuta amependezwa kuishi maisha fulani amabayo hufungamana na matendomahususi. Matendo au aina ya maisha binadamu anayofurahia kuishi inaweza kuwa michezo, ujasiliamali, utumishi wa umma katika utoaji huduma, nk. Haki zake zikuwa zimehujumiwa endapo atazuiwa ama kwa kudhamilia au kwa bahati mbaya kutimiza hayo aliyokwisha amua kufunya.
 
Nchi ya kiislamu Saudi Arabia hiyo

Watu wanaenda kuhiji mmh khashogi wanamchinja Kama mbuzi

Islamic State huko, Alshabab wao

Kweli Dini hizi zina mambo Hapo wanaofanya ni waislamu toka Saudi Arabia
Haya umeyatowapi ndugu? Swali na mtoa mada ni nini maana ya haki? Haya ni yakwako anzisha uzi mpya ujadili haya ya kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…