Hivi hili ni kosa?

haya makubwa..pole jaman katoto hakana shukrani hako...vinadanganyana tu vinasahau kila mtu na maisha yake...kana tamaa hako
 
Pole sana, usirudie tena,msomeshe ndugu yako. Sasa ana kudhalilisha una onekana kinyago. Kama ungemlipia school fees mdogo wako Anna wala isingekuwa tatizo ata kama ange kutukana. Mpige chini fasta kabla haujamsamehe maana unaonekana una huruma sana.hacha kufanya majukumu yasiyo yako.
 

bro. Pole sana tena sana,hiyo ni moja ya mapito katika maisha ya mwanadamu, umenikumbusha mbali sana kwani bro wangu alishafanya the same as u lakini alikuja kuambulia kuwa reserve baada ya kuyumba kiuchumi, hukufanya jambo baya kwani ungekuwa na nia mbaya usingeenda kwao maana mngemalizana kimjini mjini, ushauri wangu, achana nae fikiria maisha yako,angalia mda ulioupoteza na gharama zake ili pindi utakapoingia tena katika mahusiano ujue ya kuwa uko katika upande gani,kama utaona huwezi vumilia miezi 3 au 4 tafuta binti ambaye anajua maisha ni nini usifate uzuri wa sura bali fata moyo,upendo na mapenzi ya kweli
 
Demokrasia mi sitofautiani na wenzangu apo, imetosha mwache mapema iwezekanavyo, ila pia kulokiwa hakun haja kuwaambia wazazi wake ungemwachia hilo jukumu yeye. Humuwezi huyo wala yeye hakuwezi, ni wale dizani videmu vya
Mizinga. Afu usije kujifanya eti unampenda , yeye hakupendi! Tulia utapata mwingine
 
Nakushauri utulie tu na huyu dada kwani alifanya hivyo akiwa na hasira juu yako kuwa una USHAMBA fulani hivi, na ni kweli kaka tatizo ulikuwa wewe KWANI HATA SIKU MOJA WANAUME HATUOMBI KURUDISHIWA PESA KUTOKA KWA WAPENZI/WAKE ZETU KWA MANENO..bali tunatumia VITENDO na MAZINGIRA dhaifu/onevu kwetu then binti hutumbukia ndani ya huo uonevu kwa huruma yake aikijua anamsaidia Mpenzi wake kumbe ndo anarudisha pesa yako, ilikuwa nyepesi kuwa hivi kaka. But malizeni tatizo hili na uwe mwelewa kumsamehe nawe pia kuomba msamaha pale alipokutuhumu..hatua hii si ya kuhusisha wazazi utazidi haribu mipango yako, na huenda baba mkwe alikucheka sana( na kumsifu bintiye) na kieukweli ni fedheha sana hata simlaumu binti akikutaka uombe radhi..
 
We Ringopet wewe ndo ushauri gani huu??????? kwanza kweli iko wapi kwenye ushauri wako? tukianzia na 5.usijidanganye kuwa ni utoto angekuwa mtoto wazazi wasingekubali jambo hilo litendeke anamaamuzi yake..-HAPA YAONESHA WAZAZI HAWAKUWA NA PESA WAKATI HUO NA HOFU YA KUTOFANYA MTIHANI ILIMLAZIMU BINTI AKOMAE NA MPENZI WAKE, NA KIPATO CHA WAZAZI HUENDA KIKO CHINI NAO WANAHITAJI KUSAIDIWA..4.anamtu anayempenda zaidi yako na hela unayompa naye anaenda kumwonga ampendaye -NAONA UNATUMIA UZOEFU WETU ULE WA VIJIWENI, SI KILA PESA IOMBWAYO HUENDA KUBAYA HASA KWA UGUMU WA KUWA STUDENT WA CHUO TANZANIA HII3.mtu aliyekupenda kweli hawezi kukuomba hela hata kama anashida sana atakuambia kimafumbo naweutajua kakuomba na hakulazimishi -ni kweli hakulazimishi, BUT ANAYEPENDA HASA/KWELI HUWA WAZI KUELEZA SHIDA YAKE KWA MTU WAKE WA KARIBU NA AKISAIDIWA HATA KAMA NI KIDOGO HURIDHIKA NA KUGUSWA SANA MOYONI. ko kama we HUOMBWI jua wazi huyo hataki kijifunga kwako au hakupendi2.hakupendi kwasababu hana huruma nawe umemwambia huna umebaki na hela anayoihitaji anakuambia umpe hiyo hiyo alijua utaishije-UTAISHIJE? NA YE ATAFANYAJE MTIHANI?..JIBU LILIKUWA NI JAMAA KUTOA PESA THEN AKAKOPE KWA WAFANYAKAZI WENZIE AU MARAFIKI WA NJE.1.achana naye najua itakuwa ngumu lakini usibishane na ukweli-UKWELI UPI, KWAMBA ITAKUWA NGUMU KUACHANA NAYE?..
 

Jamani mbona naon kama mmemchanganya zaidi huyu demokrasia? Yeye kaja kuomba ushauri kuhusu hapo pekundu, mi naona kama ushauri wenu huu (wa kumtaka aachane na huyo binti) umeenda mbali zaidi.
 

inawezekana kaka demokrasia hujakosea kwa upande lakini inatakiwa utambue kuwa whether a certain phenomenon will be called a problem depends on emotion n curiosity,views n standards,history n tradition,kwaiyo everyone is programmed to look at reality differently.pia uyo binti kuwa nae makin cuz inaonekana anakuheshimu kimtindo kwasababu ya matatizo aliyonayo sasa hivi akishatoka huyo hakujui tena.
 
Last edited by a moderator:
Mi naona labda alitaka uende polisi!, , huyo Mwanamke achana naye my Bro, hakupendi, anashindwa kukujali na kukuthamini wakati wa dhiki, kama anakudarau kuwa wewe huna hela, si aende huko kwa wenye hela, anafikiri kununuliwa gari na mapedezyee wa mjini mchezo, kama hawezi KUEXPRESS herself, anafikiri atapewa gari, halohaloo!
 
. kama hawezi KUEXPRESS herself, anafikiri atapewa gari, halohaloo!

mmh, Doreen una maana atoe ule mtandao mwingine ndiyo angalau anaweza kufikiriwa kupewa gari ama?
 
hivi mnaosema wanaofanya kazi wawaache wanafunzi hao mnamaana gan? Kwan mtoa mada si kasema huyo ni mwanafunzi wa chuo? Mmeulza umri wa huyo mwanafunzi? hivi chuo hamna wenye ndoa zao?

Umeongea sahihi kabisaa mimi Baby wangu Ameshastaafu lkn yupo pale mlimani mwaka wa kwanza anachukua shahada ya sheria.
 
Hivi unawajua hao Mapedezyee au unawasikia tu, wengi wao ni wazee vijana, hawa watu akitaka hizo pesa anazotaka, atazipata kwao, BUT kwao KUEXPRESSISHA peoples' selves ni muhimu sana, ni sawa na chumvi kwenye Mboga, kama hutaki, sepa, gari kutoka kwao utaendelea kuliota tu!
mmh, Doreen una maana atoe ule mtandao mwingine ndiyo angalau anaweza kufikiriwa kupewa gari ama?
 
wewe ulitakiwa usiongea nae wala wazazi wake baada ya kupewa maneno ya kashfa. count ur loses and leave!!!
 
hapa kaka jifanye kauzu, baada ya kama wk 2 hiv mbona unasahau na kuanza maisha fresh
 



Tatizo la watoto huzungumzwa na wazee kwa hivyo hujafanya vibaya hata kidogo isipokuwa juwa kengele hiyo imeshalia, jihadhari huku ukijuwa kuwa huna uwezo kama hao wengine waliokwishatajwa!
 
Uyo atakuja kukutosa akishamaliza chuo na kukufanya kupoteza pesa nyingi kwa mpuuzi Kama uyo achana nae kabisa...waambie madingi yake yakupe chako uxepe tu.uyo ndio limbukeni.ukiendelea shauri yako baba
 
Piga chini kimeo hiko, ulikua uamuzi mzuri kuwaambia wazazi wake wamwambie wenyewe.
 
kaka wewe msomi halafu unashindwa kung'amua hayo??lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…