Tangu nimeanza mahusiano sijawahi kabisa kupenda ila nasikia watu wanalalamika kuhusiana na mpenzi wengine wanafikia hatua ya kujiua kwasaabu ya mapenzi. Huwa najiuliza nikipi hasa kinamfanya mutu ajiue kwasaabu ya mapenzi? yani mpaka leo sijapata jibu. Sasa nina umri wa miaka 30 na mapenzi nimeanza nikiwa na umri wa miaka7, tangu kipindi hicho mpaka leo sijawahi kufeel love yaani kuwa special kwaajili ya mtu au kumfanya mtu kuwa special kwa ajili yangu. so nauliza hili ni tatizo au?
Kwanza hukuanza mapenzi una miaka saba sema ulianza ngono ukiwa na miaka 7.
Kimsingi tatizo lako ni kubwa sana -(Kwamba unatembea bila kuwa na moyo) Yaani mpaka sasa nashangaa kwa muda wote huo umewezaje kuishi.!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Go straight kwa mtaalamu bingwa wa magonjwa ya akili.Sitanii
Eish! kwani ana gonjwa la akili??!!