FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
- Thread starter
-
- #21
Inawezekana mama wa kwanza!Binafsi sidhani kama ni rahisi hivyo kuchanganya majina katika maongezi...tena sio na rafiki mpya useme umesahau jina lake kwahiyo unabahatisha ila mchumba wako kabisa?Ni ngumu kidogo kuamini!
Labda anamtaka kaka na anashinda kutwa kucha kwa wahanga!U neva kno!MMH jaman wewe dada amejiingizaje apo?
ni uyo kaka amemwingza uyo mwngne wakat yupo na bshost ndan...
Pole yake huyo dada, lakini jamani hakuna kitu kibaya kama kukosa uaminifu,
na kwa bahati mbaya mtu kama sio mwaminifu ni sio mwaminifu tu.
Labda mpaka atakapokutana na neema ya Mungu imuokoe.
Mi namshauri huyo dada asiingalie sana ndoa amuangalie zaidi huyo kaka, apime moyo wake
kama kweli unaweza kubeba hilo basi aamue kufunga ndoa, kama moyo wake hauwezi bora aachane nae tu,
Afadhali maumivu atakayoyapata sasa yatapona kuliko kidonda ambacho atakipata akiwa kwenye ndoa, hakiishi na hakiponi milele.
Afadhali kuacha mchumba, kuliko aje kuitwa mwanamke aliyeachika!!
Mungu amsaidie katika yote.
Ila kuna watu wana siri unaweza maliza hata mwaka lakini yote hayo usiyaone ,
Asante kwa ushauri mzuri
Huchoki kucheza wewe?
Ni takribani miezi miwili sasa ,mpenzi ,mchumba ,husband to be wake amekuwa kila mara akimpigia simu katikati ya maongezi yao kila anapotaka kuita jina la huyo dada F,amekuwa akiita jina la dada mwingine kabisa ,Huyu binti kila anapohoji maswali anapewa lugha nzuri
asante FL1
wajua ule ukaribu utamsaidia kunote vitu vidogodogo ambavyo huyu mtu wake lazima hata afiche vipi atajisahau tu kama ana mambo ya konakona
tukumbuke kuwa inauma sana unapokuwa na hisia hizo na pia kuacha au kuachwa ni maumivu zaidi,ajaribu kujiridhisha aona kama still wana future ama kiza kinene!!
sichoki kucheza,nahofia kitambi nisijekosa kilicho chema!
Labda anamtaka kaka na anashinda kutwa kucha kwa wahanga!U neva kno!
Wanaume wana mambo DA hapa mie nimeshindwa la klusema nikaona nileta hapa mmsaidie huyu mdada
mkaka anaye alyeijaza moyo na akili yake
so apo ajiandae ata kat kat ya game anaweza akakosea jna....wewe asha sogea uku bwana ahh kumbe shost anaitwa magdalena...teh teh!!!
...ata wakipafom dzain jamaa atakuwa anaVUTA HISIA ZA ASHA ILI APATE STIMU ...akuna kitu bla sababu...angekuwa anakosewa majina tofaut ningeelewa bt daily uyo uyo ahhh pole yake
Hivi kwanini watu tunashindwa kujituliza mpaka unaelekea kwenye hatua muhimu kama hii bado tu unahangaika kudodosa nje???????????????????????????????????????????????????????????????????????????
asante FL1
wajua ule ukaribu utamsaidia kunote vitu vidogodogo ambavyo huyu mtu wake lazima hata afiche vipi atajisahau tu kama ana mambo ya konakona
tukumbuke kuwa inauma sana unapokuwa na hisia hizo na pia kuacha au kuachwa ni maumivu zaidi,ajaribu kujiridhisha aona kama still wana future ama kiza kinene!!
sichoki kucheza,nahofia kitambi nisijekosa kilicho chema!
Labda anamtaka kaka na anashinda kutwa kucha kwa wahanga!U neva kno!
Nilishajifunza kutokana na makosa ,
Huyo kuna jambo Mungu anamuonyesha au huyo mwanaume anafnaya makusudi au kalogwa na bidada wa kando......hiyo ndoa na isubiri,waelewane kwanza la sivyo ndo yale yale ya vilio kila siku while ulijua.....ogopa sana mwanaume amtaje mwanamke mwingine kila mara that shows anampenda,wanawasiliana kila saa na the guy is into the other gal kiasi kwamba mind ime-corrupt hata anajisahau......ndoa kama ipo ipo kama hakuna na huyo mtu usilazimishe.......