Hivi hizi account za wadada zenye kipepeo hua wanamaanisha nini?

Hivi hizi account za wadada zenye kipepeo hua wanamaanisha nini?

EricMan

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2017
Posts
3,050
Reaction score
5,420
Natoa kisa
Huyu dada nilisoma nae chuo flani tulikua marafiki sas mwezi wa tatu nikakutna nae katika harakati za hapa na pale akanipa namba

Sasa siku moja nikaangalia status yake WhatsApp ile status ilikua na nembo ya tiktok na jina nikawa influenced kutazama zaid huko Tiktok nikadanlod App ya Tiktok nikaend angalia videos za yule dada username yake ni fupi alaf inakipepeo mimi nikaona ni kawaida tu.

kule Tiktok nikaona video zake kibaaooo nikaona ngoja niruke nae

sasa nikaendelea tazama videos za huko nikawa nakutana na majina mengine yana vipepeo nikaona kawaida

siku moja nikajiunga na group la telegrama lilikua la hotels za utaliii kule ndani ndo nikakutana na majina kibaaooo yanavipepeooo mbele hapa nikaanza kustuka hivi kunaniii hivi vipepeoo

Leo sasa nikiwa instagram nikakutana na username inakipepeo alaf picha zake niza cannon wadada wa location mara kavaa bikini mara yupo ufukweni

kwakwel imenichanganya nikifikiria yule demu nae jina lake lina kipepeo

Sijui inamaanisha nini

Screenshot_20240629-141226_TikTok.jpg
 
Back
Top Bottom