Komando tamimy
Senior Member
- Nov 18, 2020
- 108
- 121
Habari wana jamvi.
Kwa bahati nzuri mimi ni mdau mkubwa elimu nimefurahishwa sana ujenzi na ukarabati wa mashule unavyoendelea kwani nina hakika vijana wengu watapata elimu katika mazingira bora.
Jana kwa bahati nilimshuhudia Mhe Rais akizindua ujenzi wa ihungo secondary na veta.
Kwa hili hstuna budi kumpongeza Rais.Hakuna aliemkamirifu, lakini katika hotuba zote 2 nilimsikia mhe Rais anasema zili nafasi elfu tano zimeshatangawzwa akimaanisha watu waombe lakini mpaka sasa maagizo hayo ya Rais hayajatekekezwa.
Tumeona jana Rais akisema wanafuzi wanakaa chini na madarasa hakuna,Ghafla ujenzi wa madarasa umeanza na uchongaji wa madawati kwa ajili ya wanafunzi.
Tunashukuru Muumba kwa kauli ya Rais, Kauli ya Rais kwamba wametangaza ajira 5000 wakati hazijatangazwa nawaziri Jafo akiwa mbele ya Rais tunaweza kusema TAMISEMI ina mdanganya Rais.
Kwa sababu ajira hizo tamisemi hawajatangaza. TAMISEMI watuambie lini watawangazia hizo ajira