Hivi hizi dawa za kuongeza makalio ni kweli zinafanya kazi?

Ngoja wenyewe akina nanihiiii waje wakuhabarishe kama ni kweli ama .......
 
Za mchina zinafanya kazi haraka,ila hizi za wabongo sijui. Madhara yake ni makubwa bora watu waridhike na tako dogo waliloumbwa nalo
 
If you can trust me with your matako I can apply some on them and you shall see for yourself
 
Nnavyoona matangazo ya dizaini hii nakumbuka kuna Dada mmoja wa benki ya makabwela Dom shepu yake waweza funguo ya solex mchina mbaya sana.
 
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
kuna baadhi ya watu wanajichubua ngozi ya mwili wengine wanatia dawa ili nywele zile km za wazungu ama warabu n.k! hiyo 4G ni nn?
malizia kabisa 4G LONG TERM EVEOLUTION
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…