Hivi hizi hisia ni mimi tu?

UrbanGentleman

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2016
Posts
2,584
Reaction score
1,885
Ninapokwenda kokote au ninapokua nchi yeyote hasa kwenye mikusanyiko mikubwa ya huwa kuna hisia unijia na zinaniogopesha sana na kujikuta nashindwa kumaliza nilichokua nikikifanya.

Hisia hizi ni kuwaza tukio la kigaidi mfano kuibuka kwa mlipuko wa shambulizi linalotokana na BOMU au watu kuuliwa kinyama kwa uvamizi wa alqaeda,alshabab au tukio lolote linalo pelekea MASSACRE kutokea sehemu niliyopo.

Ni nini kinapelekea kuwaza hivi, ni kipi unifanya niwe na mawazo haya sababu inanifanya nakua muoga na mashaka sana sababu nakosa amani hasa napokua kwenye mikusanyiko ya watu wengi.

Ushauri waungwana hii kitu inaninyima ata kuudhulia matukio muhimu ya kijamii na ata nikiuzulia uwa nakosa amani na kupoteza umakini kabisa.
 

Ni dalili ' tosha ' kuwa muda wowote utairudisha ' namba ' kwa Mwenyewe!
 
Pole sna sali sana ni pepo wa kuzimu , wanakupelekea woga na siku nasiku wanakuingiza pabaya jitaidi kusali sana uikatae hiyo hali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…