ni wao pekee tulitegemea watuletee kitu konk,wakatuabwaga tukafikia matako.Mm walinikera walivyozifelisha zile simu za Microsoft, iliniuma sana
Microsoft sijui Kwanini analikwepa soko LA gaming, viashiria vyote Kwamba ndio eneo pekee ambapo wintel inawashinda wengine.Surface Pro, za microsoft hasa kuanzia pro 3 na kuendelea nazikubari sana. ila hiki kifaa naona kama kiko weak sana kwanza kina processor weak pia. Sidhani kama kitafanya vizuri labda kakitoa kujaribisha tu.
Halafu hizi teknolojia za double screen sijaona kampuni iliyofanikiwa kutengeneza matumizi ya maana yenye kushawishi watu wengi watumie double screen zaidi naona gimmick tu
View attachment 1654057
View attachment 1654058
View attachment 1654059